Yanga FC mfundisheni ' Mburundi ' wenu Amis Tambwe jinsi ya Kushangilia akifunga Goli kwani anashangalia ' Kishamba ' sana!

Una visa na Wagogo wewe.
 
Mechi za makundi msishangae watatoa kafara zaidi. Wawili wawili kila mechi.
 
Si kweli, vijiweni ndivyo wanavyoitwa Yanga siku hizi...."Wagogo wa Jangwani.".
Let us honest Kiongozi. Yanga wanajichangisha wenyewe. Hawaombi kwa Simba wala Azam. Ndiyo reality.
Simba so far kila kitu anafanya Mo. Hiyo kampuni bado inaweka misingi hopefully ije ifike mahali ianze ku generate income. Sio leo wala kesho.
Maana yake: Yanga inaendeshwa na wanachama. Simba inaendeshwa na Mo.
 


Majuzi pale msikitini (Jangwani) watu waliombwa michango kusaidia "Wagogo wa Jangwani," na hata ukipata pale klabuni kwao utaona lile bango la kuomba wanachama kuchangia Wagogo wao. Kocha wa Wagogo pia alisikika akisema kuwa wanachama wachangie timu yao, wewe mwanamme wa Dar unakuja hapa kubisha, why?
 
Tumechangiwa na Mashujaa wa Kigoma muda mfupi uliopita.
 
Injinia soma hiyooo
Ni #hattrik mkuu

Kashangilia Makambako eti kawafunga Jkt angefunga goli kama la chama angevua sijui mpaka nn.

Leo Tambwe kaona vitu vya kawaida kufunga eti afundishwe mashabiki wa Simba bana naona mmekua wasemaji wa Yanga Fc

TAMBWE afindishwe kushangilia bao! [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji23][emoji23]

Mamb mengine yanachekesha kweli aisee! Ni sawa na kumfundisha kibaka jinsi ya kukimbia Baada ya kukwapua simu.
 
Kafunga hat trick kwa tukuyu stars afu anashangilia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tambwe amewakaa kwa kukichwa chao!

Huyu jamaa alichowafanyia pale Taifa mpaka wakang'oa viti hakika hawatokuja kumsahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…