Weee jamaa mpuuzi kweli. Hivi unajua timu ambayo haipo kweny list yako ndio timu inayoongoza ligi kuu Tanzania?Eti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?
Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION
KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kwanini msitumie usomi wenu mkatengeneza vyanzo vya mapato, mkaachana na hii omba omba??Mashabiki wa Simba wanakelele sana ....alafu nimekuja kugundua Yanga ni timu ya wasomi ndipo wanapoifungia Simba ambao ni wauza Nazi na Vitunguu pale kariakoo kila asubuh wanakutana pale nje ya jengo lao kupigiana kelele
Nasema hivii GENTAMYCINE "Simba ni Kigenge cha wahuni"
Hahaha.. Mkuu mbona umepaniki? Mi sizungumzii nani anaongoza ligi.. Nazungumzia timu iliyofungwa goli 3 na mchezaji mmoja.Weee jamaa mpuuzi kweli. Hivi unajua timu ambayo haipo kweny list yako ndio timu inayoongoza ligi kuu Tanzania?
Hiyo ni moja kati ya njia ya kisomi ni ubunifu wa hali ya juu wamefanya viongozi wa YangaMkuu kwanini msitumie usomi wenu mkatengeneza vyanzo vya mapato, mkaachana na hii omba omba??
Imagine, vitimu vidogo kama alliance, biashara united n.k vinapambana na hali zao.. Lakini wasomi Ndala pamoja na ukongwe wenu, kutwa kucha mnatembeza bakuli kwa wauza nazi na vitunguu pale kariakoo. Mnatutia aibu.
Hahaha.. Kweli Ndala mna viongozi wasomi na wabunifu haswaa.. Kudos.Hiyo ni moja kati ya njia ya kisomi ni ubunifu wa hali ya juu wamefanya viongozi wa Yanga
Hata serikali imeomba kusaidiwa kweny maafa ya MV Nyerere ndo maana tunawaita mbumbumbu kwa akili hizo. Kwan hujui fund raising ni njia ya kupata pesa?Mkuu kwanini msitumie usomi wenu mkatengeneza vyanzo vya mapato, mkaachana na hii omba omba??
Imagine, vitimu vidogo kama alliance, biashara united n.k vinapambana na hali zao.. Lakini wasomi Ndala pamoja na ukongwe wenu, kutwa kucha mnatembeza bakuli kwa wauza nazi na vitunguu pale kariakoo. Mnatutia aibu.
Hahaha.. Mkuu mi mwenyewe nimeishia darasa la 2D.. nitajulia wapi haya mambo ya fund raising. Shukrani kwa darasa ulilonipa.Hata serikali imeomba kusaidiwa kweny maafa ya MV Nyerere ndo maana tunawaita mbumbumbu kwa akili hizo. Kwan hujui fund raising ni njia ya kupata pesa?
Mwambie huyo sembo unadhani labda mtoto wako anaugua ghafla ni njia gani utakayoitumia zaidi ya kwenda kuomba msaada wakati huo huna kitu mfukoni unataka kuniambia utaanza kubuni mradi ili umpeleke mwanao hospitali...... Yaani nyie Simba ni mazwazwa sanaHata serikali imeomba kusaidiwa kweny maafa ya MV Nyerere ndo maana tunawaita mbumbumbu kwa akili hizo. Kwan hujui fund raising ni njia ya kupata pesa?
Siyo kuwa timu ambayo haipo hapo haijapoteza mechi, haijadroo, ina mechi mkononi, inaongoza ligi, simba halali bila kuiotaEti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?
Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION
KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha.. Sawa Mkuu.. Ila timu yako umeiona kwenye list hapo?Siyo kuwa timu ambayo haipo hapo haijapoteza mechi, haijadroo, ina mechi mkononi, inaongoza ligi, simba halali bila kuiota
Anajifanya anajitoa ufahamuWeee jamaa mpuuzi kweli. Hivi unajua timu ambayo haipo kweny list yako ndio timu inayoongoza ligi kuu Tanzania?
Naona mnakua wagumu kunielewa.. Narudia tena kwa lugha nyepesi..Anajifanya anajitoa ufahamu
Haiwezi kuwekwa kwasababu ni tishio
Hahaha.. Sawa Mkuu.. Nimekuelewa.Haiwezi kuwekwa kwasababu ni tishio
Weee jamaa mpuuzi kweli. Hivi unajua timu ambayo haipo kweny list yako ndio timu inayoongoza ligi kuu Tanzania?
Kama mmewashibdwa mbao mtaiweza Yanga?