Yanga FC msijidanganye ' Kiufundi ' bado hamna uwezo wa Kuifunga Simba SC katika ' Derby ' ya tarehe 30, Septemba 2018

Eti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?

Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION

KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee jamaa mpuuzi kweli. Hivi unajua timu ambayo haipo kweny list yako ndio timu inayoongoza ligi kuu Tanzania?
 
Mashabiki wa Simba wanakelele sana ....alafu nimekuja kugundua Yanga ni timu ya wasomi ndipo wanapoifungia Simba ambao ni wauza Nazi na Vitunguu pale kariakoo kila asubuh wanakutana pale nje ya jengo lao kupigiana kelele
Nasema hivii GENTAMYCINE "Simba ni Kigenge cha wahuni"
Mkuu kwanini msitumie usomi wenu mkatengeneza vyanzo vya mapato, mkaachana na hii omba omba??
Imagine, vitimu vidogo kama alliance, biashara united n.k vinapambana na hali zao.. Lakini wasomi Ndala pamoja na ukongwe wenu, kutwa kucha mnatembeza bakuli kwa wauza nazi na vitunguu pale kariakoo. Mnatutia aibu.
 
Hiyo ni moja kati ya njia ya kisomi ni ubunifu wa hali ya juu wamefanya viongozi wa Yanga
 
Mkuu kwanini msitumie usomi wenu mkatengeneza vyanzo vya mapato, mkaachana na hii omba omba??
Imagine, vitimu vidogo kama alliance, biashara united n.k vinapambana na hali zao.. Lakini wasomi Ndala pamoja na ukongwe wenu, kutwa kucha mnatembeza bakuli kwa wauza nazi na vitunguu pale kariakoo. Mnatutia aibu.
Hata serikali imeomba kusaidiwa kweny maafa ya MV Nyerere ndo maana tunawaita mbumbumbu kwa akili hizo. Kwan hujui fund raising ni njia ya kupata pesa?
 
Hahaha.. Mkuu mi mwenyewe nimeishia darasa la 2D.. nitajulia wapi haya mambo ya fund raising. Shukrani kwa darasa ulilonipa.
 
Hata serikali imeomba kusaidiwa kweny maafa ya MV Nyerere ndo maana tunawaita mbumbumbu kwa akili hizo. Kwan hujui fund raising ni njia ya kupata pesa?
Mwambie huyo sembo unadhani labda mtoto wako anaugua ghafla ni njia gani utakayoitumia zaidi ya kwenda kuomba msaada wakati huo huna kitu mfukoni unataka kuniambia utaanza kubuni mradi ili umpeleke mwanao hospitali...... Yaani nyie Simba ni mazwazwa sana
 
Eti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?

Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION

KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siyo kuwa timu ambayo haipo hapo haijapoteza mechi, haijadroo, ina mechi mkononi, inaongoza ligi, simba halali bila kuiota
 
Anajifanya anajitoa ufahamu
Naona mnakua wagumu kunielewa.. Narudia tena kwa lugha nyepesi..

Hiyo orodha ni ya timu zinazoshiri ligi kuu ya Tanzania bara msimu wa 2018/19 ambazo hazijafungwa goli tatu na mchezaji mmoja. Na si orodha ya msimamo wa ligi kuu. Nadhani sasa tumeelewana.

Swali ni Je umeiona timu yako katika hiyo orodha ya timu?
 
Simba unaiogopa sana hii match na kama ikitokea mkafungwa basi itakuwa shida sana
 
Weee jamaa mpuuzi kweli. Hivi unajua timu ambayo haipo kweny list yako ndio timu inayoongoza ligi kuu Tanzania?

Inaongoza kwani Ligi imemalizika? Hopeless kabisa! Mkiambiwa ' Mashabiki ' wa Yanga wengi ni ' Matahaira ' msiwe mnabisha.
 
Back
Top Bottom