Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mashabiki wa Simba wanakelele sana ....alafu nimekuja kugundua Yanga ni timu ya wasomi ndipo wanapoifungia Simba ambao ni wauza Nazi na Vitunguu pale kariakoo kila asubuh wanakutana pale nje ya jengo lao kupigiana kelele
Nasema hivii GENTAMYCINE "Simba ni Kigenge cha wahuni"
Eti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?
Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION
KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe umelewa au upo usingizini???
Hebu Tuambie Mara Ya Mwisho Yanga kuifunga Simba ilikuwa Lini?
Usije shangaa Kuwa Raisi Bado Alikuwa Kikwete.
Hahaha..Kwa Jinsi Wanavyoreply inaonesha hii Post imewauma sana!
Haya Yote Kayataka King Kibaden Kuwafanya Ndala Wazalilike.
Yanga pigaaaaaa mbwaaaaaaa
Simba ni genge la wavunja viti na kurusha makopo uwanjani
Hahaha.. Hili ni janga si kwa familia tu, bali kwa taifa zima.Halafu anatokea Mtu from nowhere anawadharau Wapiga Nyeto wakati Bao Zenyewe Zinatoa Watoto Kama Hawa! Si bora uitupe tu Chooni.
Endeleeni kujipa moyo kwa Kigezo cha kushinda mechi zenu Nne ( 4 ) mfululizo za Ligi ila ukweli upo na utabaki pale pale kwamba ' Kiufundi ' kabisa na hapa naweka ' Mahaba ' yangu ya Usimba kando / pembeni kwamba bado Yanga SC haina Kikosi imara cha kuweza Kucheza na Simba SC.[/FONT
Bange la uzeeni ndo sheeder.
Tena ni vyema mkawa tu wapole kwani kuna uwezekano mkapata Kipigo ambacho kitaumizeni sana na hamtoamini. Na mnachokosea na nimewashangaa mno mnashangilia John Boko kutokuwepo kwakuwa alipata Kadi Nyekundu jana wakati mnasahau kwamba kuna Watu wengine wapo ' bench ' ambao muda wowote wanaweza wakabadili matokeo na bado Simba SC ikashinda.
Kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vizuri ni Ushambuliaji tu ila kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vibaya na ambalo ndilo litawaumizeni hiyo tarehe 30, Septemba 2018 basi ni eneo lenu la Ulinzi na kidogo katika ' midfield ' yenu.
Endapo Simba SC siku hiyo pale mbele atasimama Medie Kagere na Emanuel Okwi huku katikati wakiwepo ' Injini ' zinazoelewana za Simba SC Jonas Mkude, Maulid Dilunga na James Kotei halafu pembeni wakawekwa ' Viberenge ' akina Shiza Kichuya na Mohamed Ibrahim naziona Goli za haraka za Simba SC na pia nina uhakika kunaweza pia kukawa na Kadi za Njano kadhaa na hata Nyekundu kwakuwa najua hawa Wachezaji tajwa hapa watawasumbua mno Mabeki na Viungo wa Yanga SC hadi itapelekea wapo ' Kupaniki ' na kupoteza mechi.
Naiheshimu sana Yanga SC na kama Mwanamichezo napenda pia Kuipongeza kwani kidogo sasa inaanza kurudi vizuri katika mstari na kuna kila dalili kwamba kama Yanga SC itaendelea hivi na kumuamini Kocha wao na hamasa ikazidishwa basi huko mbeleni itakuwa ni ' mshindani ' mzuri katika Ligi ila kwa sasa ' msijidanganye ' bado ' Kiufundi ' hampo vizuri na bahati mbaya ni kwamba mnaibuka washindi dhidi ya Timu ambazo zenyewe pia hazipo vizuri ' Kiuchumi ' na zina matatizo ya Kiutendaji.
Bado naiona Simba SC kuibuka mshindi tena wa Goli zaidi ya mbili ( 2 ) hiyo tarehe 30, Septemba 2018.
Nawasilisha.
Tafadhali.. Tunahitaji mtujulishe mapema.Maandalizi ya kung'oa viti ndiyo haya. Kuamini au kuingia na matokeo kabla ya mechi sijui kwa ubora upi wa ajabu sana.
Kama Simba ipo juu kiufundi kuliko Mbao, kwa nini ifungwe?
punguza mihemko wewe , umejambwa nini..?Halafu anatokea Mtu from nowhere anawadharau Wapiga Nyeto wakati Bao Zenyewe Zinatoa Watoto Kama Hawa! Si bora uitupe tu Chooni.
John Bocco Mwakinyo atakuwepo?Tafadhali.. Tunahitaji mtujulishe mapema.View attachment 876665
Hahahaaa tena bila usumbufuMbao ni Mwanamke mgumu sana ' Kutongozeka ' kwa Simba ila Yanga huwa ' anaipanua ' mwenyewe ' mwanuuuuuuu ' kwa Simba.
Yanga ni kundi la vyura lenye uwezo mkubwa wa kuogelea bwawaniSimba ni genge la wavunja viti na kurusha makopo uwanjani
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Tafadhali.. Tunahitaji mtujulishe mapema.View attachment 876665
Vipi mbaoMkuu iheshimu Simba SC.. Yanga SC haina ubavu wa kushinda 30/09.. Labda kwa miaka ya mbeleni.