Yanga FC msijidanganye ' Kiufundi ' bado hamna uwezo wa Kuifunga Simba SC katika ' Derby ' ya tarehe 30, Septemba 2018

Yanga FC msijidanganye ' Kiufundi ' bado hamna uwezo wa Kuifunga Simba SC katika ' Derby ' ya tarehe 30, Septemba 2018

Mashabiki wa Simba wanakelele sana ....alafu nimekuja kugundua Yanga ni timu ya wasomi ndipo wanapoifungia Simba ambao ni wauza Nazi na Vitunguu pale kariakoo kila asubuh wanakutana pale nje ya jengo lao kupigiana kelele
Nasema hivii GENTAMYCINE "Simba ni Kigenge cha wahuni"

Wewe umelewa au upo usingizini???
Hebu Tuambie Mara Ya Mwisho Yanga kuifunga Simba ilikuwa Lini?
Usije shangaa Kuwa Raisi Bado Alikuwa Kikwete.
 
Eti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?

Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION

KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa Jinsi Wanavyoreply inaonesha hii Post imewauma sana!
Haya Yote Kayataka King Kibaden Kuwafanya Ndala Wazalilike.
 
Maandalizi ya kung'oa viti ndiyo haya. Kuamini au kuingia na matokeo kabla ya mechi sijui kwa ubora upi wa ajabu sana.

Kama Simba ipo juu kiufundi kuliko Mbao, kwa nini ifungwe?
 
Halafu anatokea Mtu from nowhere anawadharau Wapiga Nyeto wakati Bao Zenyewe Zinatoa Watoto Kama Hawa! Si bora uitupe tu Chooni.
Hahaha.. Hili ni janga si kwa familia tu, bali kwa taifa zima.
 
B
Endeleeni kujipa moyo kwa Kigezo cha kushinda mechi zenu Nne ( 4 ) mfululizo za Ligi ila ukweli upo na utabaki pale pale kwamba ' Kiufundi ' kabisa na hapa naweka ' Mahaba ' yangu ya Usimba kando / pembeni kwamba bado Yanga SC haina Kikosi imara cha kuweza Kucheza na Simba SC.[/FONT
Bange la uzeeni ndo sheeder.

Tena ni vyema mkawa tu wapole kwani kuna uwezekano mkapata Kipigo ambacho kitaumizeni sana na hamtoamini. Na mnachokosea na nimewashangaa mno mnashangilia John Boko kutokuwepo kwakuwa alipata Kadi Nyekundu jana wakati mnasahau kwamba kuna Watu wengine wapo ' bench ' ambao muda wowote wanaweza wakabadili matokeo na bado Simba SC ikashinda.

Kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vizuri ni Ushambuliaji tu ila kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vibaya na ambalo ndilo litawaumizeni hiyo tarehe 30, Septemba 2018 basi ni eneo lenu la Ulinzi na kidogo katika ' midfield ' yenu.

Endapo Simba SC siku hiyo pale mbele atasimama Medie Kagere na Emanuel Okwi huku katikati wakiwepo ' Injini ' zinazoelewana za Simba SC Jonas Mkude, Maulid Dilunga na James Kotei halafu pembeni wakawekwa ' Viberenge ' akina Shiza Kichuya na Mohamed Ibrahim naziona Goli za haraka za Simba SC na pia nina uhakika kunaweza pia kukawa na Kadi za Njano kadhaa na hata Nyekundu kwakuwa najua hawa Wachezaji tajwa hapa watawasumbua mno Mabeki na Viungo wa Yanga SC hadi itapelekea wapo ' Kupaniki ' na kupoteza mechi.

Naiheshimu sana Yanga SC na kama Mwanamichezo napenda pia Kuipongeza kwani kidogo sasa inaanza kurudi vizuri katika mstari na kuna kila dalili kwamba kama Yanga SC itaendelea hivi na kumuamini Kocha wao na hamasa ikazidishwa basi huko mbeleni itakuwa ni ' mshindani ' mzuri katika Ligi ila kwa sasa ' msijidanganye ' bado ' Kiufundi ' hampo vizuri na bahati mbaya ni kwamba mnaibuka washindi dhidi ya Timu ambazo zenyewe pia hazipo vizuri ' Kiuchumi ' na zina matatizo ya Kiutendaji.

Bado naiona Simba SC kuibuka mshindi tena wa Goli zaidi ya mbili ( 2 ) hiyo tarehe 30, Septemba 2018.

Nawasilisha.
 
Maandalizi ya kung'oa viti ndiyo haya. Kuamini au kuingia na matokeo kabla ya mechi sijui kwa ubora upi wa ajabu sana.

Kama Simba ipo juu kiufundi kuliko Mbao, kwa nini ifungwe?
Tafadhali.. Tunahitaji mtujulishe mapema.
IMG-20180924-WA0023.jpeg
 
Yanga kamfunga Simba Mara nyingi...kamfunga magoli mengi zaidi,kachukuwa ubingwa Mara nyingi zaidi..sasa ubora wa Simba unatoka wapi...Yanga ndio timu kubwa zaidi TZ kama Man U England,Real Madrid Spain,Juventus Italy,Bayern Munich Germany...Toka 2009 Yanga haijawahi kufungwa NA timu kutoka nje ya mkoa wa Dar es salaam uwanja wa Taifa...vimba pasuka double strikers Tambwe NA Makambo wakose kukufunga dk 90 maweeeee
 
Mbumbumbu amfunge nani?hii ni timu kubwa baran Africa,siyo alayanzi fc hii
 
Back
Top Bottom