Yanga FC msijidanganye ' Kiufundi ' bado hamna uwezo wa Kuifunga Simba SC katika ' Derby ' ya tarehe 30, Septemba 2018

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Endeleeni kujipa moyo kwa Kigezo cha kushinda mechi zenu Nne ( 4 ) mfululizo za Ligi ila ukweli upo na utabaki pale pale kwamba ' Kiufundi ' kabisa na hapa naweka ' Mahaba ' yangu ya Usimba kando / pembeni kwamba bado Yanga SC haina Kikosi imara cha kuweza Kucheza na Simba SC.

Tena ni vyema mkawa tu wapole kwani kuna uwezekano mkapata Kipigo ambacho kitaumizeni sana na hamtoamini. Na mnachokosea na nimewashangaa mno mnashangilia John Boko kutokuwepo kwakuwa alipata Kadi Nyekundu jana wakati mnasahau kwamba kuna Watu wengine wapo ' bench ' ambao muda wowote wanaweza wakabadili matokeo na bado Simba SC ikashinda.

Kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vizuri ni Ushambuliaji tu ila kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vibaya na ambalo ndilo litawaumizeni hiyo tarehe 30, Septemba 2018 basi ni eneo lenu la Ulinzi na kidogo katika ' midfield ' yenu.

Endapo Simba SC siku hiyo pale mbele atasimama Medie Kagere na Emanuel Okwi huku katikati wakiwepo ' Injini ' zinazoelewana za Simba SC Jonas Mkude, Maulid Dilunga na James Kotei halafu pembeni wakawekwa ' Viberenge ' akina Shiza Kichuya na Mohamed Ibrahim naziona Goli za haraka za Simba SC na pia nina uhakika kunaweza pia kukawa na Kadi za Njano kadhaa na hata Nyekundu kwakuwa najua hawa Wachezaji tajwa hapa watawasumbua mno Mabeki na Viungo wa Yanga SC hadi itapelekea wapo ' Kupaniki ' na kupoteza mechi.

Naiheshimu sana Yanga SC na kama Mwanamichezo napenda pia Kuipongeza kwani kidogo sasa inaanza kurudi vizuri katika mstari na kuna kila dalili kwamba kama Yanga SC itaendelea hivi na kumuamini Kocha wao na hamasa ikazidishwa basi huko mbeleni itakuwa ni ' mshindani ' mzuri katika Ligi ila kwa sasa ' msijidanganye ' bado ' Kiufundi ' hampo vizuri na bahati mbaya ni kwamba mnaibuka washindi dhidi ya Timu ambazo zenyewe pia hazipo vizuri ' Kiuchumi ' na zina matatizo ya Kiutendaji.

Bado naiona Simba SC kuibuka mshindi tena wa Goli zaidi ya mbili ( 2 ) hiyo tarehe 30, Septemba 2018.

Nawasilisha.
 
Tena ni vyema mkawa tu wapole kwani kuna uwezekano mkapata Kipigo ambacho kitaumizeni sana na hamtoamini.
sasa timu inashinda kwamba unataka bado wajione wanyonge?🤣
 
Endeleeni kujipa moyo kwa Kigezo cha kushinda mechi zenu Nne ( 4 ) mfululizo za Ligi ila ukweli upo na utabaki pale pale kwamba ' Kiufundi ' kabisa na hapa naweka ' Mahaba ' yangu ya Usimba kando / pembeni kwamba bado Yanga SC haina Kikosi imara cha kuweza Kucheza na Simba SC.

Tena ni vyema mkawa tu wapole kwani kuna uwezekano mkapata Kipigo ambacho kitaumizeni sana na hamtoamini.
Time will tel bro.
 
Simba wapo vizuri sana kila idara ila kuna tatizo moja naliona hapa ni kama ambalo yanga amewahi kuwa nalo kipindi flan yanga ipo vizuri simba ikiwa imefulia kujiamini na kuwa na matokeo mfukoni kabla ya mechi kwa kuangalia mpinzani wako jinsi alivyo ndicho ambacho kinaitokea simba msimu huu yanga najua watacheza kwa kuwaonyesha simba sio wanyonge simba akizubaa atapakatwa
 
Ukweli Mchungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mkanganyiko wa hoja hapa kuhusu nini mwanzisha mada anazungumzia. Kichwa cha mada ni udhaifu wao kiufundi, lakini kwenye maelezo anazungumzia uimara wa kikosi. Hivi ni vitu viwili tofauti. Timu inaweza isiwe na kikosi imara lakini ikawa nzuri kiufundi, na nyengine inaweza kuwa na kikosi imara (ninavyomwelewa mwanzisha mada anakusudia jinsi kikosi kilivyosheheni wachezaji wanaoaminika kuwa hodari zaidi ya timu nyengine) lakini isiwe nzuri kiufundi.
 
Endeleeni kujipa moyo kwa Kigezo cha kushinda mechi zenu Nne ( 4 ) mfululizo za Ligi ila ukweli upo na utabaki pale pale kwamba ' Kiufundi ' kabisa na hapa naweka ' Mahaba ' yangu ya Usimba kando / pembeni kwamba bado Yanga SC haina Kikosi imara cha kuweza Kucheza na Simba SC.

Tena ni vyema mkawa tu wapole kwani kuna uwezekano mkapata Kipigo ambacho kitaumizeni sana na hamtoamini. Na mnachokosea na nimewashangaa mno mnashangilia John Boko kutokuwepo kwakuwa alipata Kadi Nyekundu jana wakati mnasahau kwamba kuna Watu wengine wapo ' bench ' ambao muda wowote wanaweza wakabadili matokeo na bado Simba SC ikashinda.

Kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vizuri ni Ushambuliaji tu ila kama kuna eneo ambalo Yanga SC ipo vibaya na ambalo ndilo litawaumizeni hiyo tarehe 30, Septemba 2018 basi ni eneo lenu la Ulinzi na kidogo katika ' midfield ' yenu.

Endapo Simba SC siku hiyo pale mbele atasimama Medie Kagere na Emanuel Okwi huku katikati wakiwepo ' Injini ' zinazoelewana za Simba SC Jonas Mkude, Maulid Dilunga na James Kotei halafu pembeni wakawekwa ' Viberenge ' akina Shiza Kichuya na Mohamed Ibrahim naziona Goli za haraka za Simba SC na pia nina uhakika kunaweza pia kukawa na Kadi za Njano kadhaa na hata Nyekundu kwakuwa najua hawa Wachezaji tajwa hapa watawasumbua mno Mabeki na Viungo wa Yanga SC hadi itapelekea wapo ' Kupaniki ' na kupoteza mechi.

Naiheshimu sana Yanga SC na kama Mwanamichezo napenda pia Kuipongeza kwani kidogo sasa inaanza kurudi vizuri katika mstari na kuna kila dalili kwamba kama Yanga SC itaendelea hivi na kumuamini Kocha wao na hamasa ikazidishwa basi huko mbeleni itakuwa ni ' mshindani ' mzuri katika Ligi ila kwa sasa ' msijidanganye ' bado ' Kiufundi ' hampo vizuri na bahati mbaya ni kwamba mnaibuka washindi dhidi ya Timu ambazo zenyewe pia hazipo vizuri ' Kiuchumi ' na zina matatizo ya Kiutendaji.

Bado naiona Simba SC kuibuka mshindi tena wa Goli zaidi ya mbili ( 2 ) hiyo tarehe 30, Septemba 2018.

Nawasilisha.
Labda kwa ulozi na ndumba zenu ndiyo ufundi unaomaanisha, lakini kama ni mpira wenye macho tunaona. Simba ya maneno yenu ni Simba kweli, ila uhalisia ni pakashume tu.
 
Kiukweli cjaona cha kuandika...!! Any way mleta uzi mpira hauko hivyo na pia majina makubwa uwa hayachezi.
 
Tatizo la mashabiki wa simba wanamdomo kama mademu huku mitaani wanaongeea ukishaga kanyaga hata kibao kimoja eshima inakuwepo.
so subir muda uwadie tuone
 
Subiri mzamishwe hyo tar 30 ndo utaamini kumbe mikuyenge ipo
Eti mkuu kuna ukweli wowote kuhusu hilo suala?

Hizi ndo timu ambazo hazijafungwa hatrick mpaka sasa
1)SIMBA
2)AZAM
3)JK TANZANIA
4)MBEYA CITY
5)PRISON
6)ALLIANCE
7)MTIBWA
8)KAGERA
9)LIPULI
10)KMC
11)AFICA LYON
12)STAND UNITED
13BIASHARA
14)SINGIDA
15)MBAO
16)NDANDA
17)RUVU SHOOTING
18)MWADUI
19)COSTAL UNION

KM TIMU YAKO HAUION HAPO MUULIZE ALEX KITENGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashabiki wa Simba wanakelele sana ....alafu nimekuja kugundua Yanga ni timu ya wasomi ndipo wanapoifungia Simba ambao ni wauza Nazi na Vitunguu pale kariakoo kila asubuh wanakutana pale nje ya jengo lao kupigiana kelele
Nasema hivii GENTAMYCINE "Simba ni Kigenge cha wahuni"
 
Mkuu iheshimu Simba SC.. Yanga SC haina ubavu wa kushinda 30/09.. Labda kwa miaka ya mbeleni.
Nikucheke kidogo
Hahahaaaaaa hahahaaaaa hahhaaaaa
IMG_20180920_082715.jpg
 
Back
Top Bottom