Yanga FC na safari chizi

Yanga FC na safari chizi

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Salaam wakuu.
Bila kuchelewesha muda kama mnavyofahamu safari ya chizi huwa ndefu lakini akirudi anarudi na makopo na takataka nyinginezo.

Nadhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael walivyopigiwa mpira mkubwa na mafundi USM ALGER wakiongozwa na fundi BRAHIM BENZAZA na timu hiyo kutoka algeria kuibuka na ushindi wa goli 2.

Sasa kuna baadhi ya wendawazimu wameanza kujifariji kuwa hata wasipochukua kombe watapata medali nipende kuwahamisha kuwa mafanikio ya mashindano yoyote ni kuchukua ubingwa sio kuvalishwa cheni kama MBWA.

Sasa wewe usipochukua ubingwa hautokuwa tofauti gan na Geita gold alieshia hatua za awali kwa nyote hamjarudi na kombe.

NB: MAFANIKIO NI KUCHUKUA UBINGWA TU KUVALISHWA CHENI KAMA MBWA TOFAUTI NA HAPO HAKUNA TOFAUTI NA TAHIRA AMBAE ANAENDA SAFARI NDEFU ILA ANARUDI NA MAKOPO.
 
naodhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael walivyopigiwa mpira mkubwa na mafundi USM ALGER wakiongozwa na fundi BRAHIM BENZAZA na timu hiyo kutoka algeria kuibuka na ushindi wa goli 2.

sasa kuna baadhi ya wendawazimu wameanza kujifariji kuwa hata wasipochukua kombe watapata medali nipende mafanikio ya mashindano yoyote ni kuchukua ubingwa sio kuvaliswa cheni kama MBWA.

Sasa wewe usipochukua ubingwa hautokuwa tofauti gan na Geita gold alieshia hatua za awali kwa nyote hamjarudi na kombe.

NB: MAFANIKIO NI KUCHUKUA UBINGWA TU KUVALISHWA CHENI KAMA MBWA TOFAUTI NA HAPO HAKUNA TOFAUTI NA TAHIRA AMBAE ANAENDA SAFARI NDEFU ILA ANARUDI NA MAKOPO.
Yanga isiporudi na kombe Algeria itarudi na medali na kiatu cha dhahabu mfungaji bora Fiston Mayele.

Je mataahira ya Msimbazi MNA nini?
 
Salaam wakuu.
Bila kuchelewesha muda kama mnavyofahamu safari ya chizi huwa ndefu lakini akirudi anarudi na makopo na takataka nyinginezo.

Nadhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael walivyopigiwa mpira mkubwa na mafundi USM ALGER wakiongozwa na fundi BRAHIM BENZAZA na timu hiyo kutoka algeria kuibuka na ushindi wa goli 2.

Sasa kuna baadhi ya wendawazimu wameanza kujifariji kuwa hata wasipochukua kombe watapata medali nipende kuwahamisha kuwa mafanikio ya mashindano yoyote ni kuchukua ubingwa sio kuvalishwa cheni kama MBWA.

Sasa wewe usipochukua ubingwa hautokuwa tofauti gan na Geita gold alieshia hatua za awali kwa nyote hamjarudi na kombe.

NB: MAFANIKIO NI KUCHUKUA UBINGWA TU KUVALISHWA CHENI KAMA MBWA TOFAUTI NA HAPO HAKUNA TOFAUTI NA TAHIRA AMBAE ANAENDA SAFARI NDEFU ILA ANARUDI NA MAKOPO.
Furaha ni overrated sana katika maisha, ukimwona Mtu anaongea na matusi juu elewa kabisa analazimisha nyeusi kuwa nyeupe [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom