Kumbe bado bikira!!!Mbele ya SINGIDA haya!! Isijekuwa siku ya kubikiriwa kesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bado bikira!!!Mbele ya SINGIDA haya!! Isijekuwa siku ya kubikiriwa kesho.
Fungu la kununua mechi zimekata
Kocha naona ni kimeo.Wakati naangalia mpira nilishindwa kuelewa hawa kweli ndio yanga? yaani mpira tumecheza wa hovyo sana
[emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani! Mpira ndivyo ulivyo. Kuna kushinda, kushindwa na kutoka sarePumbavu sana yaani wamecheza kama ARSENAL ya mbagala KIMBANGULILE.
Hahahaaa. Nimekutag dada twende kule mnacheza na Singida.
Yaan notification ni janga kwangu sioniHahahaaa. Nimekutag dada twende kule mnacheza na Singida.
Leo zamu yenu. Teh Teh
Ukiwa na App huwa haziji labda utumie Web.Yaan notification ni janga kwangu sioni
Yanga walikuwa wamechoka tu,subiri wapumzike..