Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie MusondaπŸ˜€

YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha! πŸ”°

 
Uzi wa GT tayari, karibuni Kwa michango.
 
Fujo ni pale timu inapoanza mashindano ya ligi ya mabingwa akiwa bingwa mara gafla anajikuta kwenye mashindano ya maluza akiwa luza.
 
Vitisho vya waliofeli kwa wakubwa wanawatisha maluza wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…