Yanga: Godfrey Bony hawahusu??

Yanga: Godfrey Bony hawahusu??

Laury

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,272
Reaction score
1,510
Hivi inakuwaje Timu kama Yanga chama kubwa mmetoka kufiwa na mchezaji wenu wa zaman hata kuvaa kitambaa cheusi basi au kusimama dk1 kumkumbuka Bony mmekazana na issue ya dawa za boss wenu..daah
 
Achana na timu za Kariakoo. Si unakumbuka wale kule walikula rambirambi!
 
Hivi inakuwaje Timu kama Yanga chama kubwa mmetoka kufiwa na mchezaji wenu wa zaman hata kuvaa kitambaa cheusi basi au kusimama dk1 kumkumbuka Bony mmekazana na issue ya dawa za boss wenu..daah
Unge copy na kupest wazo lote la Edo kumwembe na kulileta huku

Umeli hariri limekosa mvuto kwani la mwenyewe linavutia zaidi
 
Kwani hawa vyura fc lini waliwahi kuwa na akili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hawa vyura fc lini waliwahi kuwa na akili[emoji23][emoji23][emoji23]
kama wamchangani tu kula rambirambi laana itaendelea kuwatafuna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbumbumbu fc bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]
e05523cf3b4a06c883ba5a2599b73d67.jpg
 
Yebo fc wanatetea ujinga uliofanywa na viongozi wao,ule mchango wa Bony hawaukumbuki,wapo bize kumtetea mdosi wao anayeteswa na arosto..
 
Back
Top Bottom