Yanga, GSM kuweni makini na ajira/usajili wa kocha msaidizi

Hakuna fukuto,kusepeshwa kwa kishingo hakuhusiani na natola,kwahiyo unawasingizia tu unataka kusawazisha matatizo yenu ya Yanga as if simba tuna matatizo pia
Inaonyesha unajua zaidi. Sababu ni nini?
 
Simba yawezekana ndio yenye mambo ya kiswahili kuliko timu zote kwa sasa.

1. Kocha amechukua ubingwa Wa ligi na mechi sita sijui mkononi
2. Ameipeleka timu fainali kwenye confederation cup possibly wakachukua. Kwa nini umfukuze kuna nini? Au ndio Yale Yale ya kwamba kocha hakuwa na mchango wowote? Basi Yawezekana ni tatizo la kucheza mechi nje ya uwanja zaidi,mana hata timu ilipoingia robo fainali klabu bingwa uongozi ulisema kocha hakuwa na mchango Mkubwa.
 
Ila huwezi kutuambia eti Simba haina matatizo. Utakuwa unajidanganya. Yapo, mengi tu na ndiyo maana kuna viongozi.
Klabu haitengenezi faida halafu isiwe na matatizo?
kama yapo tungeyaona,mbona unafosi simba kuwa na matatizo wakati hayaonekani
 
Wanatumia hela nyingi kununua mechi na sio ubora wa kocha
 
kama yapo tungeyaona,mbona unafosi simba kuwa na matatizo wakati hayaonekani
Kwa sababu wewe upo nje unashangilia. Lakini mpaka goli liingie nyuma yake kuna mabo mengi hufanyika na hugharimu pesa nyingi sana pamoja na kuumiza vichwa.
Ukiona timu inaingiza bilioni 3 na kutumia bilioni 6 kwa mwaka, ujue kuna mtu anapata hasara ili wewe ufurahi Mpaka kujiona na wewe tajiri ...

sHIRIKISHA UBONGO KIDOGO,
 
kama yapo tungeyaona,mbona unafosi simba kuwa na matatizo wakati hayaonekani
Mkuu kuna mawili hujui soka la bongo au unajua umeamua kuleta ubishi wa kishabiki tu
 
Mmh hujasikia fukuto la huko kumbe, Kishingo naye anasepeshwa
Hata kama kuna fukuto , si kwamba linatokana na tofauti ya kocha na msaidizi wake, inasemekana ni tofauti za misimamo tu ya programu za kocha vs management
 
4G imenunuliwa bei gani?Utopolo walishaaminishwa wana timu nzuri. Hivyo kipigo cha 4G imebidi kisingizio kibadilishwe ili aibu ipungue kidogo.Ndio hapo yule mwimba taarabu kutoka Makorora akadai wachezaji wamewasaliti.
Visingizio vya waamuzi safari hii visingekubalika kwani walikuwa watano.Hakuna goli la kulalamikia.
Utopolo kwa visingizio wanastahili tuzo za Oscar.
 
Wanajua kuwa ubingwa ni kutokana na kubebwa na marefa na sio juhudi za kocha ndo mana wanataka kumuondoa
 
Na nyie mmefukuza kwa sababu ipi?Utopolo ujinga mtupu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…