Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kishingo atasepa na CEO wake to "Upande wa Pili"Mmh hujasikia fukuto la huko kumbe, Kishingo naye anasepeshwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishingo atasepa na CEO wake to "Upande wa Pili"Mmh hujasikia fukuto la huko kumbe, Kishingo naye anasepeshwa
Mbona matola ni msaidiz na yupo freshwasilogwe wakamuweka kocha msaidizi mbongo, asilimia kubwa wana majungu, watatafuta kila njia ya kumfelisha.
Hujasikia Mara kadhaa wanahitilafiana?Mbona Simba walianza na Matola na kishingo akamkuta mbona wako vzuri
Inaonyesha unajua zaidi. Sababu ni nini?Hakuna fukuto,kusepeshwa kwa kishingo hakuhusiani na natola,kwahiyo unawasingizia tu unataka kusawazisha matatizo yenu ya Yanga as if simba tuna matatizo pia
kama yapo tungeyaona,mbona unafosi simba kuwa na matatizo wakati hayaonekaniIla huwezi kutuambia eti Simba haina matatizo. Utakuwa unajidanganya. Yapo, mengi tu na ndiyo maana kuna viongozi.
Klabu haitengenezi faida halafu isiwe na matatizo?
Wanatumia hela nyingi kununua mechi na sio ubora wa kochaSimba yawezekana ndio yenye mambo ya kiswahili kuliko timu zote kwa sasa.
1. Kocha amechukua ubingwa Wa ligi na mechi sita sijui mkononi
2. Ameipeleka timu fainali kwenye confederation cup possibly wakachukua. Kwa nini umfukuze kuna nini? Au ndio Yale Yale ya kwamba kocha hakuwa na mchango wowote? Basi Yawezekana ni tatizo la kucheza mechi nje ya uwanja zaidi,mana hata timu ilipoingia robo fainali klabu bingwa uongozi ulisema kocha hakuwa na mchango Mkubwa.
Kwa sababu wewe upo nje unashangilia. Lakini mpaka goli liingie nyuma yake kuna mabo mengi hufanyika na hugharimu pesa nyingi sana pamoja na kuumiza vichwa.kama yapo tungeyaona,mbona unafosi simba kuwa na matatizo wakati hayaonekani
Kweli!Wanatumia hela nyingi kununua mechi na sio ubora wa kocha
Mkuu kuna mawili hujui soka la bongo au unajua umeamua kuleta ubishi wa kishabiki tukama yapo tungeyaona,mbona unafosi simba kuwa na matatizo wakati hayaonekani
Mkuu kuna mawili hujui soka la bongo au unajua umeamua kuleta ubishi wa kishabiki tu
Hata kama kuna fukuto , si kwamba linatokana na tofauti ya kocha na msaidizi wake, inasemekana ni tofauti za misimamo tu ya programu za kocha vs managementMmh hujasikia fukuto la huko kumbe, Kishingo naye anasepeshwa
Kipigo cha 4 mlipewa bei ganiWanatumia hela nyingi kununua mechi na sio ubora wa kocha
Hata aibu huna kuandika shutuma kama hii. Kwa mpira ule Simba haina haja ununue mechi.Wanatumia hela nyingi kununua mechi na sio ubora wa kocha
Wanajua kuwa ubingwa ni kutokana na kubebwa na marefa na sio juhudi za kocha ndo mana wanataka kumuondoaSimba yawezekana ndio yenye mambo ya kiswahili kuliko timu zote kwa sasa.
1. Kocha amechukua ubingwa Wa ligi na mechi sita sijui mkononi
2. Ameipeleka timu fainali kwenye confederation cup possibly wakachukua. Kwa nini umfukuze kuna nini? Au ndio Yale Yale ya kwamba kocha hakuwa na mchango wowote? Basi Yawezekana ni tatizo la kucheza mechi nje ya uwanja zaidi,mana hata timu ilipoingia robo fainali klabu bingwa uongozi ulisema kocha hakuwa na mchango Mkubwa.
Kama tulivyobebwa kwenye kile kipigo cha 4GWanajua kuwa ubingwa ni kutokana na kubebwa na marefa na sio juhudi za kocha ndo mana wanataka kumuondoa
mnajitahidi sana tufanane,huwezi kujilinganisha na Simba. kwa sasa tupo mbali saaaaanaMmh hujasikia fukuto la huko kumbe, Kishingo naye anasepeshwa