Yanga haijajiandaa kuchukua ubingwa 2021/2022

Simba
Kwa sasa bila shaka Yanga ni timu ndogo Sana. Kilichobaki kwa Yanga Ni uzee yaani Ni timu kongwe.

Ukisikiliza press wanazoitisha hawa watu wawili Manara na Bumbuli utagundua kwamba hawana plan ya ubingwa, na Kama Wana plan basi si plan ya kucheza mpira uwanjani.

Plan kubwa waliyobeba Ni namna gani tuidhoofishe Simba kwa propaganda za kijinga. Pili, Ni vipi tuwaandae waamuzi kisaikolojia kabla mzunguko wa pili haujaanza.

Yanga ni km ule msemo usemao nyani haoni kundule, mechi ya Yanga vs mbeya city ziliongezwa dakika kumi, hazungumzii penati waliyopewa dhidi ya Namungo nk.

Lkn Dakika zinazoongezwa haziongezwi kwa ajili ya Simba tu, zinatumika na timu pinzani pia ktk mechi husika.

Watu wazima wanalalamika mechi za Simba kutengeneza red card 5 au 6.Ishu si mechi za Simba kutoa red card nyingi bali , kwa watu wenye weledi ktk kufikiri wangejadili UHALALI wa hizo kadi km Ni halali au ni za uonevu. Hii ndiyo hoja. Kwamba kosa km linastahili kadi nyekundu basi waamuzi wasitoe kwa sababu ni Simba anacheza.

Na ikumbukwe kadi nyekundu ktk mechi za Simba zitakuwa nyingi sana kutokana jinsi wapinzani wanavyoingia uwanjani kuikamia simba, huku wakiwaza na bonus za GSM.

Mbeya city alipofungwa na Simba wachezaji walitoa chozi, waliumia, lkn wakaja kufungwa na Yanga goli zaidi ya 2 walitoka uwanjani wakiwa na furaha huku wakiwakumbatia wachezaji wa Yanga.

Yanga hawajajiandaa kuwa bingwa. Ubingwa haupatikani kwa kuhurumiwa, au kulalamika. Huwezi kupata ubingwa kwa kufitini timu pinzani kwa vyombo vya habari.

Mpira hauchezwi sebuleni ni mchezo wa wazi. Simba wao wanawaza wakafanye nini uwanjani kupata matokeo.

Timu kubwa hazilalamiki bali zinaamini ktk viwango vyao uwanjani.

Kama droo moja tu imekuwa hivi , kuna dalili Yanga kwenda kususa ligi huko mbele ya safari. Siwaoni wakiupata ubingwa kwa mwenendo huu, labda wabadilike.
Upogo
 
Sawa Ragii
 
Back
Top Bottom