Yanga haikuwahi kushiriki Kombe la shirikisho?

Yanga haikuwahi kushiriki Kombe la shirikisho?

Hayo mabumunda yasikuumize kichwa,yalishindwa kupata goli moja tu kwa mkapa ili wavuke kwenda robo klabu bingwa halafu wanawakejeli waliopata goli moja bila nyumbani.

Ni mataahira hayo ndio maana hayana kumbukumbu bloangu,usijipe stress za bure kuyasikiliza,ni yanajifariji tu.
 
Kipindi Yanga anashiriki kulikuwa na uwezekano wa timu bingwa kushiriki ila Kwa Sasa Kwa vyovyote iwavyo bingwa wa nchi yoyote hata Somalia hachezi Shirikisho

Huko shirikisho Kuna timu ambazo sio bingwa ndo maana Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya shirikisho kuwa ni mashindano ya akina mama
 
Bingwa alikuwa anashiriki kivipi? Yaani Bingwa kwa nini asisishiriki Klabu Bingwa badala yake ashiriki shirikisho?
Rejea Yanga na wababe wengine walishiriki shirikisho baada ya kutolewa CAFCL na kuja kuyapa hadhi mashindano ya CAFCC
Ila baada ya kanuni hii kutolewa na mashindano ya shirikisho kubaki na timu mbovu ambazo haziwezi kuwa mabingwa wa nchi zao

Kuanzia hapo Kaduguda Kiongozi pale Simba akasema ni shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
 
Back
Top Bottom