Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Timu za Kiswahili mambo ya KiswahiliNaona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF?
Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa ilikoshindwa kufuzu kwenda hatua ya Makundi Klabu Bingwa?
Mwanzilishi wa kumdharau mwenzake kwa kupata mafanikio kufikia robo fainali ya CAFCL ni churaWaanzilishi wa kulidharau kombe la Shirikisho ni Simba
Wamejizima data achana nao.Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF?
Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa ilikoshindwa kufuzu kwenda hatua ya Makundi Klabu Bingwa?
Simba au Manara?Waanzilishi wa kulidharau kombe la Shirikisho ni Simba
Bingwa alikuwa anashiriki kivipi? Yaani Bingwa kwa nini asisishiriki Klabu Bingwa badala yake ashiriki shirikisho?Kipindi Yanga anashiriki kulikuwa na uwezekano wa timu bingwa...
Rejea Yanga na wababe wengine walishiriki shirikisho baada ya kutolewa CAFCL na kuja kuyapa hadhi mashindano ya CAFCCBingwa alikuwa anashiriki kivipi? Yaani Bingwa kwa nini asisishiriki Klabu Bingwa badala yake ashiriki shirikisho?