Yanga haina mchezaji mwenye thamani kununuliwa na Simba

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.

Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.

Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
 
Ukweli mtupu.
 
Timu iliyoshinda tar 3/8 kama ni bora mbona ipo nafasi ya 3
Mpira ni taaluma...Mo Salah Alionekana hafai Chelsea ila sasa imebakia stori...Nenda kamuulize raisi wa CAF atakuambia timu iliyoshinda tarehe 8/3 ndio bora kama hutaki Kanye West
 
Simba bhana wanajiona wamefanikiwa sanaaa kuelekea kuchukua ubingwa mara nyingine washasahau waliteseka kwa muda gani.

Kama mshabiki unaweza kuongea hivi kuleta kero kwa wapinzani wako ila kama mwanamichezo na unaujua mpira hauwezi kusema uharo kama huu.

Mchezaji kufit mahali inategemea formation na falsafa ya kocha.

Mashabiki wa Simba mna Mihemko mno kama Boss wenu mzee wa 3B na yule msemaji wenu anayeisemea Mabingwa wa kihistoria kila siku.

Maskini akipata kiungo fulani hulia mbwata
 
Kiukweli simba wakichukua mchezaji yanga ni kama kuikomoa mfano Ajibu mpaka sasa hana namba kamili, Nyonzima wamemwacha kaingia yanga moja kwa moja kikosi cha kwanza wakati simba alikuwa anaanzia benchi hata kakolanya naye anaanzia benchi, gadiel michael naye benchi ukweli ndio huo
 
Hamna timu nye ni genge la wahuni acha kupiga genga
Simba bhana wanajiona wamefanikiwa sanaaa kuelekea kuchukua ubingwa mara nyingine washasahau waliteseka kwa muda gani.

Kama mshabiki unaweza kuongea hivi kuleta kero kwa wapinzani wako ila kama mwanamichezo na unaujua mpira hauwezi kusema uharo kama huu.

Mchezaji kufit mahali inategemea formation na falsafa ya kocha.

Mashabiki wa Simba mna Mihemko mno kama Boss wenu mzee wa 3B na yule msemaji wenu anayeisemea Mabingwa wa kihistoria kila siku.

Maskini akipata kiungo fulani hulia mbwata
 
Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.

Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.

Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
Mbichi hizi.

Labda Morrison. Na Feisal?

Mbichi hizi.
 
Simba mlisajili wale wachezaji wa tatu toka brazil wakichezea india nnae msikia mi mmoja tu wengine je wakwapi
 
Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.

Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.

Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
Kama Yanga iliifunga Simba, logically wachezaji wa Yanga ni bora zaidi ya wale wa Simba. Ingekuwa umeongea kuhusu ubora kwa ujumla tungeongeza mengine, ila kwa sababu hoja ni kati ya Simba na Yanga, basi Yanga anabakia kuwa bora.
 
Basi yanga wangekuwa wanaongoza ligi kama ni bora
Kama Yanga iliifunga Simba, logically wachezaji wa Yanga ni bora zaidi ya wale wa Simba. Ingekuwa umeongea kuhusu ubora kwa ujumla tungeongeza mengine, ila kwa sababu hoja ni kati ya Simba na Yanga, basi Yanga anabakia kuwa bora.
 
Yanga ni wabovu sana, huo ndio ukweli. Wanashinda kwa mbinde na kwa kubahatisha sana.

Forward Line yao ni butu ni hakuna mfano, wachezaji kama akina Molinga na Nchimbi hawana kitu wanafanya, wangestahili kuzichezea Mbeya City, Mtibwa au Kagera Sugar.

Wanashindwaje kusajili wachezaji wazuri, sijui hawana macho au ni ukata. I don't know. Ila hawana timu nzuri kabisa.
 
Yanga haiwezi kusajili wachezaji wazee kutoka simba angalia wahanga kama Boko Kagere Nyoni kahata Kanda na baba lao yule mwenye ndevu nyingi
 
Hicho kitimu chenu chenye vichezaji vinavyochoka baada ya dk 45!?
 
Back
Top Bottom