Ukweli mtupu.Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.
Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.
Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
Mpira ni taaluma...Mo Salah Alionekana hafai Chelsea ila sasa imebakia stori...Nenda kamuulize raisi wa CAF atakuambia timu iliyoshinda tarehe 8/3 ndio bora kama hutaki Kanye West
Timu iliyoshinda tar 3/8 kama ni bora mbona ipo nafasi ya 3
Simba bhana wanajiona wamefanikiwa sanaaa kuelekea kuchukua ubingwa mara nyingine washasahau waliteseka kwa muda gani.
Kama mshabiki unaweza kuongea hivi kuleta kero kwa wapinzani wako ila kama mwanamichezo na unaujua mpira hauwezi kusema uharo kama huu.
Mchezaji kufit mahali inategemea formation na falsafa ya kocha.
Mashabiki wa Simba mna Mihemko mno kama Boss wenu mzee wa 3B na yule msemaji wenu anayeisemea Mabingwa wa kihistoria kila siku.
Maskini akipata kiungo fulani hulia mbwata
Mbichi hizi.Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.
Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.
Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
Kama Yanga iliifunga Simba, logically wachezaji wa Yanga ni bora zaidi ya wale wa Simba. Ingekuwa umeongea kuhusu ubora kwa ujumla tungeongeza mengine, ila kwa sababu hoja ni kati ya Simba na Yanga, basi Yanga anabakia kuwa bora.Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.
Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.
Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
Kama Yanga iliifunga Simba, logically wachezaji wa Yanga ni bora zaidi ya wale wa Simba. Ingekuwa umeongea kuhusu ubora kwa ujumla tungeongeza mengine, ila kwa sababu hoja ni kati ya Simba na Yanga, basi Yanga anabakia kuwa bora.
[emoji1787][emoji23]Sijasoma contents ila heading tu IMENITOSHA
We ukiona timu inashangilia Sare kwa Namungo tena goli la kusawazisha linafungwa nje ya muda wa mchezo basi hiyo timu ni Utopolo tu.Hamna timu nye ni genge la wahuni acha kupiga genga