Yanga haina mchezaji mwenye thamani kununuliwa na Simba

Wakati mwingine ukweli unauma, lkn mleta mada kasema kweli tupu.
Ukweli upi mikia wewe,simba inawamezea morrison,tshishimbi,metacha na wengine kwani hatujui,uliza mliwachukua wangapi toka yanga msimu uliopita ,
 
Sawa tako moko.
 
Hata Morison hana thamani ya kuchezea Simba, jaribu kuwaza atamuweka nani benchi pale msimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…