Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Mambo Ya fedha!Timu iliyoshinda tar 3/8 kama ni bora mbona ipo nafasi ya 3
Kama sivyo ubingwa ingekuwa ni ndoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo Ya fedha!Timu iliyoshinda tar 3/8 kama ni bora mbona ipo nafasi ya 3
Timu gani ambayo wachezaji wanachoka mapema kama sio yanga tukianza wazee kwenu yondani, ngassa, tshishimbi, juma abdul kwa uchacheHicho kitimu chenu chenye vichezaji vinavyochoka baada ya dk 45!?
Ukweli upi mikia wewe,simba inawamezea morrison,tshishimbi,metacha na wengine kwani hatujui,uliza mliwachukua wangapi toka yanga msimu uliopita ,Wakati mwingine ukweli unauma, lkn mleta mada kasema kweli tupu.
Mikia ilibebwa mechi na namungo dar fatilia mpira we mikia mbumbumbuWe ukiona timu inashangilia Sare kwa Namungo tena goli la kusawazisha linafungwa nje ya muda wa mchezo basi hiyo timu ni Utopolo tu.
Sawa tako moko.Ukikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.
Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.
Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.
Hilo liko wazi!Mikia ilibebwa mechi na namungo dar fatilia mpira we mikia mbumbumbu
Hata Morison hana thamani ya kuchezea Simba, jaribu kuwaza atamuweka nani benchi pale msimbaziUkikaa chini na kuwaza bila ushabiki Yanga haina mchezaji mwenye thamani ya kununuliwa na kucheza Simba labda Morison.
Lakini wote waliobaki hamna mwenye uwezo wa kucheza Simba hawana uwezo kabisa.
Ukiangalia uwezo wa kila mmoja hebu waza nani umweke benchi halafu mchezaji wa Yanga aingie.