Yanga haina washambuliaji

Yanga haina washambuliaji

NOSWEAT

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
332
Reaction score
324
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
 
Ukiangalia vizuri ni kwamba wachezaji bado hawajazoea mfumo maana wachezaji wengi ni waeni kwenye timu ya Yanga, hivyo bas, tuwe wavumilivu tu pengine wanaweza kubadilika na kutupatia furaha mashabiki wa Yanga Sc.
 
Sawa mkuu ngoja tumsikilizie ila inakera
 
Ukiangalia vizuri ni kwamba wachezaji bado hawajazoea mfumo maana wachezaji wengi ni waeni kwenye timu ya Yanga, hivyo bas, tuwe wavumilivu tu pengine wanaweza kubadilika na kutupatia furaha mashabiki wa Yanga Sc.
Hawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
 
Uvumilivu unahitajika sana, mashabiki pressure mda wote duh
 
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Wananchiiiiii.....
 
Ukiangalia vizuri ni kwamba wachezaji bado hawajazoea mfumo maana wachezaji wengi ni waeni kwenye timu ya Yanga, hivyo bas, tuwe wavumilivu tu pengine wanaweza kubadilika na kutupatia furaha mashabiki wa Yanga Sc.

Ni kweli timu inahitaji muda...hilo lina ukweli...lakini pamoja na hayo there is something wrong somewhere ndani ya Yanga...Ni vema leadership ya yanga iwatafute watu wanaojua au wenye utalaamu wa masuala ya utawala na strategies za ushindi...vinginevyo we are doomed...
 
Kuzoea mfumo gani??mfumo wa kukokota Mpira??haaa haaa haaaa!!mwenzako analalamika wachezaji hawawezi hata kukokota Mpira we unaleta story za kuzoea mfumo!!
 
Ni kweli timu inahitaji muda...hilo lina ukweli...lakini pamoja na hayo there is something wrong somewhere ndani ya Yanga...Ni vema leadership ya yanga iwatafute watu wanaojua au wenye utalaamu wa masuala ya utawala na strategies za ushindi...vinginevyo we are doomed...
Uongozi wasiposhtuka kwenye hali itakua tafrani msimu huu
 
hii mambo ya kuchagua viongozi eti kwa sababu walikuwa wachezaji ni upumbavu sana. hawajui kuongoza matokeo yake wanageuka makocha
 
Sijaona mshambuliaji pale Yanga.
Bora hata Tambwe angebaki, Shishimbi acheze namba Kumi.
 
hii mambo ya kuchagua viongozi eti kwa sababu walikuwa wachezaji ni upumbavu sana. hawajui kuongoza matokeo yake wanageuka makocha
Hahahaaaaa hii leo imekuuma umekubali ukweli, polis wameshachukua betri lao wameacha mayowee jangwani...
 
Back
Top Bottom