Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zahera alikosea sana kwenda Ufaransa baada ya Congo kutolewa Afcon
Hawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!Ukiangalia vizuri ni kwamba wachezaji bado hawajazoea mfumo maana wachezaji wengi ni waeni kwenye timu ya Yanga, hivyo bas, tuwe wavumilivu tu pengine wanaweza kubadilika na kutupatia furaha mashabiki wa Yanga Sc.
Uvumilivu unahitajika sana, mashabiki pressure mda wote duhHawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
Wananchiiiiii.....Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Ukiangalia vizuri ni kwamba wachezaji bado hawajazoea mfumo maana wachezaji wengi ni waeni kwenye timu ya Yanga, hivyo bas, tuwe wavumilivu tu pengine wanaweza kubadilika na kutupatia furaha mashabiki wa Yanga Sc.
Kuzoea mfumo gani??mfumo wa kukokota Mpira??haaa haaa haaaa!!mwenzako analalamika wachezaji hawawezi hata kukokota Mpira we unaleta story za kuzoea mfumo!!Ukiangalia vizuri ni kwamba wachezaji bado hawajazoea mfumo maana wachezaji wengi ni waeni kwenye timu ya Yanga, hivyo bas, tuwe wavumilivu tu pengine wanaweza kubadilika na kutupatia furaha mashabiki wa Yanga Sc.
Uongozi wasiposhtuka kwenye hali itakua tafrani msimu huuNi kweli timu inahitaji muda...hilo lina ukweli...lakini pamoja na hayo there is something wrong somewhere ndani ya Yanga...Ni vema leadership ya yanga iwatafute watu wanaojua au wenye utalaamu wa masuala ya utawala na strategies za ushindi...vinginevyo we are doomed...
Uongozi wasiposhtuka kwenye hali itakua tafrani msimu huu
Hahahaaaaa hii leo imekuuma umekubali ukweli, polis wameshachukua betri lao wameacha mayowee jangwani...hii mambo ya kuchagua viongozi eti kwa sababu walikuwa wachezaji ni upumbavu sana. hawajui kuongoza matokeo yake wanageuka makocha
😂 😂 😂 😀😂😀Hata kama watafungua kituo cha FFU pale Jangwani lakini msimu huu ni lazima viboko vitembee