.Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Molinga- FALCAO amekuja nafasi ya Kindoki... inaonekana AGENT wao ni mmoja.Hawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
Kwani yule aliyekuja majaribio Simba nae ni mbovu?.. na mfungaji bora wa Uganda?Sijaona mshambuliaji pale Yanga.
Bora hata Tambwe angebaki, Shishimbi acheze namba Kumi.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] cr7 banaHawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
Kweli hawana wachezaji angalau simba yule msudani mzuri yanga wamechukuwa mabausa sio wachezajiHivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Hivi Msumbiji walikuwepo...Hata Shiboub na Kahata bado hawajazoea. Haichukui mwaka kwa wachezaji kuzoeana tuache ushabiki wa kijjnga labda kama ni under 17 lakini professionals !? Wabovu bana.
Falcao aliwafunga mikia mlipocheza na LIBOROHawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
Alicheza mechi zaidi ya Nne za majaribio ktk mechi za kombe la Mapinduzi akiwa na Simba.Kwani yule aliyekuja majaribio Simba nae ni mbovu?.. na mfungaji bora wa Uganda?
Muwape muda bhana.
Tatizo la Sadney ni kukwamisha mpira wavuni ambalo ndio jukumu kubwa la striker.Alicheza mechi zaidi ya Nne za majaribio ktk mechi za kombe la Mapinduzi akiwa na Simba.
Hakufunga Goli hata la kuotea.
Huyo ni Zero utakuja kuikubali kauli yangu hapo baadae.
Walikuwepo mkuu... hata Taifa umewaona na utawaona tena Aug'25Hivi Msumbiji walikuwepo...
Huwezi kuujua wanavyocheza kwa sababu huujui mpiraHivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo