Yanga haina washambuliaji

Yanga haina washambuliaji

Wapewe shuka moja ili wazoeane... aahaaa, Kazi ipo pale Jangwani mwaka huu.
Cha kuwashauri benchi la ufundi, Idadi ya wageni hasa waliosajiliwa dirisha hili tena wa nje ya nchi isiwe kubwa kuliko waliokutwa klabuni.
Timu inaonekana mpya halafu kama kocha hajui lakufanya hv..(anaduwaa tu)... Kama wanashindwa kuelewana ligi haijaanza sijui itakapoanza kama na mishahara watalipwa vzr.
Wapewe muda lakini japo 60+% ya timu ni wageni.. Inaonekana kocha nae ni tatizo
 
Hawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
Molinga- FALCAO amekuja nafasi ya Kindoki... inaonekana AGENT wao ni mmoja.
 
Sijaona mshambuliaji pale Yanga.
Bora hata Tambwe angebaki, Shishimbi acheze namba Kumi.
Kwani yule aliyekuja majaribio Simba nae ni mbovu?.. na mfungaji bora wa Uganda?
Muwape muda bhana.
 
Bora milioni 300 wangefanya usajili wa wachezaji wa huku ndani ya Tanzania wa daraja la kwanza na la pili , milioni 500 wakawekeza kwenye timu za vijana kuanzia miaka 7-20.
Chenji ya milioni 200 wakawapa wachezaji kwenye mechi za kimataifa.
 
Kila siku huwa nasema mwenyekiti anaefaa yanga ni DR Jonas Tiboroha. Anaweza sana huyu jamaa angalia scouting ya akina Ngoma Kamsoko Tambwe. Yanga hatuja pata wachezaji kama hao. Unamuacha Kamsoko anaecheza tim ya taifa unabaki na Shishimbi ambae pass kumi 9 nje 1 ndo inmfikia. Huyu msolla hawezi na nasema kwa hali hii simba atakuwa bingwa hata mara kumi mfululizo. Maana wanasajili wanaojua mpira. Unamuacha Ninja unabaki na Juma Makapu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] cr7 bana
 
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Kweli hawana wachezaji angalau simba yule msudani mzuri yanga wamechukuwa mabausa sio wachezaji
 
washambuliaji wote ni wageni bado hawajazoeana, subirini ligi iishe ndio muwahukumu
 
Hata Shiboub na Kahata bado hawajazoea. Haichukui mwaka kwa wachezaji kuzoeana tuache ushabiki wa kijjnga labda kama ni under 17 lakini professionals !? Wabovu bana.
Hivi Msumbiji walikuwepo...
 
Hawa akina falcao mundele?? Labda wapewe Miaka 10 ndio watazoeana!
Mchezaji dakika 15 uwanjani amegusa Mpira mara moja tena Mpira wenyewe umemgonga Kwa bahati mbaya???
Falcao aliwafunga mikia mlipocheza na LIBORO
 
Kwani yule aliyekuja majaribio Simba nae ni mbovu?.. na mfungaji bora wa Uganda?
Muwape muda bhana.
Alicheza mechi zaidi ya Nne za majaribio ktk mechi za kombe la Mapinduzi akiwa na Simba.
Hakufunga Goli hata la kuotea.
Huyo ni Zero utakuja kuikubali kauli yangu hapo baadae.
 
Juma balinya, mybin kalengo, molinga, makame, sadney nk, mtani mwaka huu unalo, yetu macho na masikio tu, muhimu msiparurane.
 
Alicheza mechi zaidi ya Nne za majaribio ktk mechi za kombe la Mapinduzi akiwa na Simba.
Hakufunga Goli hata la kuotea.
Huyo ni Zero utakuja kuikubali kauli yangu hapo baadae.
Tatizo la Sadney ni kukwamisha mpira wavuni ambalo ndio jukumu kubwa la striker.
Lakini movement zake na kujipozisheni yuko vzr... Mwalimu amtulize ni player mzuri
 
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Huwezi kuujua wanavyocheza kwa sababu huujui mpira
 
Back
Top Bottom