Yanga haitakiwa kushinda

Yanga haitakiwa kushinda

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
inashangaza timu ya yanga haitakiwi kushinda katika ligi hapa nchini tayari maneno yameanza wachezaji wawili kagera wamesimamishwa lakini nilimfatilia kocha wao akiwa dar kabla mechi na simba alisema wachezaji wamechoka na kweli alifungwa kufika na yanga haiwezekani yanga kushinda na ukiangalia golikipa casilas bado mzito
miili ya yanga imesha poa sasa mwendo mdundo mtasema sana yanga
 
Sasa Kama Wachezaji Wamehujumu Timu Watizamwe tu unavyotaka wewe??
 
inashangaza timu ya yanga haitakiwi kushinda katika ligi hapa nchini tayari maneno yameanza wachezaji wawili kagera wamesimamishwa lakini nilimfatilia kocha wao akiwa dar kabla mechi na simba alisema wachezaji wamechoka na kweli alifungwa kufika na yanga haiwezekani yanga kushinda na ukiangalia golikipa casilas bado mzito
miili ya yanga imesha poa sasa mwendo mdundo mtasema sana yanga
T
 
Yanga netball club kwa kufojifoji mnajulikana
 
Back
Top Bottom