Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Onesha lawama hapo, nimeleta Uzi maana kuna maswali yanaulizwa kuhusu hiliDah hizi roho zetu acha ziendelee kulaaniwa, yani badala ya kupongeza umekuja kuanzisha thread kwa mtindo wa malalamishi.
Hawa ma mbumbumbu ni shida sana.Milioni 229 unanunua wachezaji kibao local..nani alijua ataenda Ureno
eti........Dah hizi roho zetu acha ziendelee kulaaniwa, yani badala ya kupongeza umekuja kuanzisha thread kwa mtindo wa malalamishi.
Kuna mkataba ?Club aliyoanzia kucheza ndio inapata zile % za mauzo. Alianza kuchezea timu gani bongo?
Sent using Jamii Forums mobile app