Yanga haitoambulia Clean sheet hata moja msimu huu , ina mabeki wazembe sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii timu inaweza kuwa inashinda baadhi ya mechi , lakini kiukweli ina ukuta unaovuja mno ! Sielewi simba iliwakosaje yaani ?

Game yao na Polisi Tanzania ambayo wameshinda 2-1 ni kielelezo cha ubovu wa Mabeki wa Timu hii .

Kiukweli kwenye michuano ya Kimataifa timu hii itadhalilika sana .

Yetu macho .
 
Kunywa maji utulize munkari kwanza. Halafu hakuna timu duniani isiyoruhusu goli hata uwe na ukuta wa aina gani. Nyie mnaotegemea mfanye vizuri kimataifa mbona juzi tu mabeki zetu wameruhusu magoli mawili kwenye mechi ya kimashindano?
 
Nyie wenye beki bora naona amruhusu kabisa magoli, Sijui wenye beki bora msimu uliopita mmeruhusu goli ngapi
 
Nafikiri Nabi mahali ambapo bado anahisi pana kutu hapampi raha ni beki 5 na 4 hapana utulivu sana panahitaji kufanyiwa kazi mapema kabla ya mechi za kimataifa
Umekuwa mkweli sana mkuu , kingine wanachotakiwa kuangalia ni chance za kufunga wanazopoteza , huwa wanapoteza kizembe sana .
 
sijawahi kutukana hapa jf ila mimi ndio natukanwa kama ulivyofanya wewe
 
Nafikiri Nabi mahali ambapo bado anahisi pana kutu hapampi raha ni beki 5 na 4 hapana utulivu sana panahitaji kufanyiwa kazi mapema kabla ya mechi za kimataifa
Upo sahihi kabisa mkuu

Yanga beki za kati ni tatizo kwetu, bado hakuna muunganiko mzuri hasa kwa timu ambazo zinaweza kuwa bora ktk ushambuliaji.
 
Clean sheet haina mashiko katika ulimwengu wa wabobezi wa soka!!

Yaani league bora iliyosheheni wachezaji wenye viwango we unatokaje na clean sheet kila mechi sijui unbeaten?!msimu huu ni mgumu kuliko uliopita kwa timu zote!

Kwa wabrazili hawa na wazungu usitegemee cleansheet nyingi
 
Jipime..!! kama beki mbovu mlishindwa kuwafunga, wewe beki yenu ipoje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…