Yanga haitoambulia Clean sheet hata moja msimu huu , ina mabeki wazembe sana

Yanga haitoambulia Clean sheet hata moja msimu huu , ina mabeki wazembe sana

Mayele sio mtu mzuri hata kidogo imeifamya simba imekuwa under dog ghafla
 
Walishauriwa wasajili CD mwenye experience ya caf wakahisi wanasimangwa subiri tuone kuanzia sept 11..
 
Hv ushasikia team imechukuwa kombe kwa cleansheets Kichaa wewe, kama sio basi wewe Mtoa mada ni Mkundu kama mikundu mingine..(Point 3 ndo Kila kitu, tumepata point 3 na tunasonga mbele) ikikuuma nirudishie Ila acha kushobokea Timu yetu, Tuachie kabisa Timu yetu

Hv ukiwa utopolo lazima uwe na mitusi kama hii fuh?
 
Back
Top Bottom