Yanga haitoambulia Clean sheet hata moja msimu huu , ina mabeki wazembe sana

Wewe ulishindwa kumfunga unawataka wenzako waifunge yanga

Nje ya mada wewe timu yako haifungiki?

Atletico Madrid na Chelsea wazee wa macontainer wanafungwa sembuse yanga

Anyway ligi ndio imeanza sasa point tatu ndio muhimu cleansheet hazikufikish popote

Unaweza pata 0-0 nyingi mwenzako akawa 2-1 nyingi

Kupanga n kuchagua unataka cleansheet au point 3?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mabeki wabovu ungewafunga kuthibitisha ubovu wao, wewe unabweka tu bila mpangilio?
 
Basi Simba itachukua kombe Kwa kuwa na clean sheets 30 😂
 
Ukiambiwa uchague kimoja kati ya hizo clean sheet, na point 3 muhimu! ungechagua nini?
 
Yanga wamehangaika kumfunga Polisi timu ambayo ilikuwa inapoteza mpira baada ya pasi mbili.

Polisi hawakuwa wanajiamini tu ila wangeweza kushinda mechi ya leo kama wangeipa Yanga pressure kidogo badala yake walikuwa wanapoteza mipira hovyo na kutokuwa na game plan ya kueleweka. Walikuwa wanaonekana kama hawajali.
 
Ukitaka kujua yanga mbovu subiri kimataifa utaona maajabu wazee wa come back.
 
Kwenye mechi ya Dabi nilitabiri Kocha Nabi kumpanga Dickson Job na Yanick Bangla na ikatokea hivyo....Mwamnyeto atawaliza sana Wana Yanga msimu huu,anageuzwa geuzwa tu kama nyanya na vitunguu kwenye sufuria.....quality ya wachezaji wa kibongo ndio hivyo basi tu....Juma Shaban akikutana na winga asiepoa hamna beki mle...mechi ya polisi alikuwa hapandi na kupiga zile kross mara kwa mara kama kawaida yake...
 
Mm ni Mwanachama Wa Yanga Wa Kadi Kabisa so Ninachokiongea Nina Kisema kisoka Zaidi.
.
3 goals vs Coast
2 goals vs Vipers
1-goal vs simba
1 goal vs polisi.
.
Kuruhusu goli 7 kwenye game 4 siyo dalili nzuri ya denfence!
.
I think Nabi atakuwa anawaza kufanya kitu na ukuta wake. Coming from down huwa siyo raha kwa kocha.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Madrid na ubora wake karuhusu goal mechi ya ufunguzi licha ya kuwepo rudiger, touchmen, na vipaji lukuki.

Nyie wachambuzi wa mchongo jikiteni kwenye mada za siasa za chadema na ccm huku kwenye mpira sio size yenu.
 
Yanga katika msimu uliopita ndio timu pekee iliyoruhusu kufungwa magoli machache katika ligi kocha akiwa uyo uyo Nabi je unalitambua hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…