Yanga hakuna timu

kujenga kunahitaji muda mrefu na plan ya ujenzi ,lakini kuboa ni mara moja tu...
 
Yanga haijawahi kutoka hatua ya awali CAF champions league..hiyo level ya timu za Somalia..sasa ubora wa mikia huko wapi
Kama kwa miaka mitano mlichangia point 3 wakati Simba kwa mwaka mmoja akachangia point 15, kutotolewa raundi ya awali kulisaidia Nini zaidi ya kuleta hasara?
 
Kuna jib niko nalo hapa anadai yeye simba ila anaamini molinga ni zaidi ya kagere, nusu nimpige kofi ili akili zake zirudi.
 
Nimekuambia msimu huu kuanzia za kirafiki, ligi ya bara na za CAF. Rudi tena ukasome vizuri. Au unataka kusema mechi ya Polisi haikuwa katika mechi za kirafiki kujiandaa katika msimu huu?
Unaujua msimu huu umeanza lini? Kwani mechi na Polisi ilichezwa baada ya Ufunguzi wa Msimu huu wa Ligi? Kabla ya hapo haujawa Msimu huu, ni maandalizi ya msimu huu. Na unajua maana ya maandalizi? Ni kwamba lengo siyo ushindi kama ilivyo kwenye Ligi, lengo ni kuona udhaifu na umadhubuti wa timu kabla ya msimu kuanza. Unataka tuhusishe mechi za CAF? Kwani zile mechi mbili za timu yako na UD Songo hazikuwa za CAF? Imeshinda ngapi kati ya hizo? Unataka tuzungumzie mechi za Yanga za msimu huu? Kwani Yanga imecheza mechi za msimu huu? Za inahusu zaidi ya moja. Yanga imecheza moja tu, kwa hivyo haijacheza mechi za msimu huu.Unataka tuzungumzie mechi za kirafiki? Kwani ile mechi na Township Rollers mliotoka nayo sare haikuwa ya Kirafiki? Sasa tuijumuishe ile kwenye mjadala huu, au utakubaliana na mimi kwamba ilikuwa ni ya maandalizi tu na kwa hivyo tusiiijadili? Unajua kuwa hujaeleweka bado?
 
Ina maana ubishani wote huo hukuwa ukijua tofauti ya maandalizi ya msimu na msimu wenyewe? Kumbe pamoja na kuwa hueleweki, huelewi pia?
Nimeelewa ndugu, kwamba mechi ya Ruvu Shooting ilikuwa ni ya maandalizi ya ligi
 
Kwaiyo unataka zahera aingie akafunge? Timu ilikua haina uwezo wa kutengeneza nafasi, kwasasa timu inapata nafasi ila kumalizia ndio tatizo sasa Zahera utamlaaumu vip? Wachezaji husika wanatakiwa waonyeshe kama wanastahili kucheza Pale mbele.
Hv unakijua unachokiandika? Mwl/coach mzur na professional ANAWAPA WACHEZAJI WAKE UWEZO NA MBINU ZA KUFUNGA. MCHEKI KLOP NA GADIOLA NI MAKOCHA WAZURI KWA KUWA WANA MBINU ZA KUFUNGA. Ktk football MAGOLI NDIO KILA KITU
 
Mtoa mada ni mtu ambaye hujui mpira, timu yetu ipo vizuri sana hasa upande wa kati na mabeki, shida ni mbele ila tatizo litaisha tu, Kumbuka timu ni mpya kwa hiyo muunganiko ndio unaendelea kutengenezwa, ingawa nina wasiwasi na Kalengo na Bigirimana
Litaisha ln?. Mechi ngap up to now TIMU HII IMECHEZA?
 
Well said and be blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…