Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kwa miaka mitano mlichangia point 3 wakati Simba kwa mwaka mmoja akachangia point 15, kutotolewa raundi ya awali kulisaidia Nini zaidi ya kuleta hasara?Yanga haijawahi kutoka hatua ya awali CAF champions league..hiyo level ya timu za Somalia..sasa ubora wa mikia huko wapi
Kuna jib niko nalo hapa anadai yeye simba ila anaamini molinga ni zaidi ya kagere, nusu nimpige kofi ili akili zake zirudi.Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
Unaujua msimu huu umeanza lini? Kwani mechi na Polisi ilichezwa baada ya Ufunguzi wa Msimu huu wa Ligi? Kabla ya hapo haujawa Msimu huu, ni maandalizi ya msimu huu. Na unajua maana ya maandalizi? Ni kwamba lengo siyo ushindi kama ilivyo kwenye Ligi, lengo ni kuona udhaifu na umadhubuti wa timu kabla ya msimu kuanza. Unataka tuhusishe mechi za CAF? Kwani zile mechi mbili za timu yako na UD Songo hazikuwa za CAF? Imeshinda ngapi kati ya hizo? Unataka tuzungumzie mechi za Yanga za msimu huu? Kwani Yanga imecheza mechi za msimu huu? Za inahusu zaidi ya moja. Yanga imecheza moja tu, kwa hivyo haijacheza mechi za msimu huu.Unataka tuzungumzie mechi za kirafiki? Kwani ile mechi na Township Rollers mliotoka nayo sare haikuwa ya Kirafiki? Sasa tuijumuishe ile kwenye mjadala huu, au utakubaliana na mimi kwamba ilikuwa ni ya maandalizi tu na kwa hivyo tusiiijadili? Unajua kuwa hujaeleweka bado?Nimekuambia msimu huu kuanzia za kirafiki, ligi ya bara na za CAF. Rudi tena ukasome vizuri. Au unataka kusema mechi ya Polisi haikuwa katika mechi za kirafiki kujiandaa katika msimu huu?
Basi tufanye mlifungwa na Polisi katika mechi ya maandalizi ya msimu uliopitaUnaujua msimu huu umeanza lini? Kwani mechi na Polisi ilichezwa baada ya Ufunguzi wa Msimu huu wa Ligi?
Ina maana ubishani wote huo hukuwa ukijua tofauti ya maandalizi ya msimu na msimu wenyewe? Kumbe pamoja na kuwa hueleweki, huelewi pia?Basi tufanye mlifungwa na Polisi katika mechi ya maandalizi ya msimu uliopita
Nimeelewa ndugu, kwamba mechi ya Ruvu Shooting ilikuwa ni ya maandalizi ya ligiIna maana ubishani wote huo hukuwa ukijua tofauti ya maandalizi ya msimu na msimu wenyewe? Kumbe pamoja na kuwa hueleweki, huelewi pia?
Bila kocha wa Simba msingepata hivyo viti maalumu. Mwaka huu mjibebe wenyewesimba au azam yenye kocha bora imefika wapi
Hv unakijua unachokiandika? Mwl/coach mzur na professional ANAWAPA WACHEZAJI WAKE UWEZO NA MBINU ZA KUFUNGA. MCHEKI KLOP NA GADIOLA NI MAKOCHA WAZURI KWA KUWA WANA MBINU ZA KUFUNGA. Ktk football MAGOLI NDIO KILA KITUKwaiyo unataka zahera aingie akafunge? Timu ilikua haina uwezo wa kutengeneza nafasi, kwasasa timu inapata nafasi ila kumalizia ndio tatizo sasa Zahera utamlaaumu vip? Wachezaji husika wanatakiwa waonyeshe kama wanastahili kucheza Pale mbele.
Litaisha ln?. Mechi ngap up to now TIMU HII IMECHEZA?Mtoa mada ni mtu ambaye hujui mpira, timu yetu ipo vizuri sana hasa upande wa kati na mabeki, shida ni mbele ila tatizo litaisha tu, Kumbuka timu ni mpya kwa hiyo muunganiko ndio unaendelea kutengenezwa, ingawa nina wasiwasi na Kalengo na Bigirimana
Idadi ya wachezaji itaongezwa kama itafuzu makundi ya champions league au ya shirikisho.Huenda Moringa ataongezwa au atasajiliwa mwingine mpya tu
Well said and be blessed.Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
Litaisha ln?. Mechi ngap up to now TIMU HII IMECHEZA?