Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zahera kawalisha limbwata washabiki wa yanga,kila upuuzi anaofanya wanamuiga,akianza ubatamzinga pia wataiga.
Nauza yanga mbovu na chuma chakavuYanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
simba imefika wapi yenye mwendo usikuwa wa kususuaYanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
38% possession ndio vizuri?Kwa anayejua mpira na akachambua mpira basi ataongea kimpira, jana yanga imecheza vizuri sema tatizo fowadi umakini bado ila imebadilika sana Yanga hasa beki na middle
Tangu msimu wa Ligi uanze Yanga imecheza mechi nne. Niambie kati ya hizo ipi imedhihirisha kwamba Yanga ni timu ya kubezwa na hiyo unayojivunia ni timu ya kuogopwa?Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
Tatizo ukiambiwa Yanga ni timu mbovu, unalinganisha na mechi za Simba! Tena unalinganisha na mechi za Simba baadhi yake ni za zamani enzi zile Toto Africa haijashuka daraja! Angalia uchezaji wa timu, uangalie spirit ya uchezaji, upime kama kuna room kwa timu kuja kuwa nzuri hapo baadaye au la! Ukilinganisha mechi za Simba na Yanga utaiona Yanga iko chini sana, unachotakiwa ni kuangalia muendelezo wa improvement za uchezaji, sio mechi huku ya Yanga, kule ya Simba!Ruvu Shooting 1-Yanga 0. Unakusudia mechi hii? Tangu lini timu kufungwa 1-0 na timu nyengine ya Ligi hiyohiyo ikawa ndio kigezo cha ubovu? Hiyo timu unayiona ni kabambe inapofungwa na Kagera na Toto kila kwenye Ligi nayo ni mbovu pia?
Yanga 1-Zesco1. Unakusudia mechi hii? Kigezo cha ubovu ni udhaifu wa Zesco? Mbona mlisema Yanga ingebugia hata bao 5 kabla ya mechi? Au udhaifu ni sare ya 1-1? Mbona hayo hayo ndiyo matokeo ya mechi baina ya hiyo timu yako kabambe na UD Songo, na bado Yanga hawajasema kuwa timu yako ni mbovu?
Bado sijakuelewa.
Atafukuzwaje wakati ndo sponsor ?? Especially kwenye wkt mgumu anatoa hela yake anawapa wachezaji wanakula,kwenye kubwa kuliko anachanga $500/= mtu km huyo hawezi fukuzwa maana kazi yake kufundisha wachezaji ndo wao kazi yao kupeleka uwanjani wanachofundishwa na mwl wao ...haya mawazo tukiwa tunapindua meza lakini mkeka usipopinduka ndukiiiiiYanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
Kwani kuna katazo ni vigezo gani vilinganishwe na vipi visilinganishwe? Hewalla, tuondoe hizo ‘baadhi’ unazosema ni za zamani, tubaki na ’baadhi’ ya hizo za sasa hivi. Pia tusilinganishe? Kwani mechi unazozitumia kuinanga Yanga nazo si ‘baadhi’? Au ‘baadhi’ inayokatazwa ni ya mechi za Simba tu?Tatizo ukiambiwa Yanga ni timu mbovu, unalinganisha na mechi za Simba! Tena unalinganisha na mechi za Simba baadhi yake ni za zamani enzi zile Toto Africa haijashuka daraja! Angalia uchezaji wa timu, uangalie spirit ya uchezaji, upime kama kuna room kwa timu kuja kuwa nzuri hapo baadaye au la! Ukilinganisha mechi za Simba na Yanga utaiona Yanga iko chini sana, unachotakiwa ni kuangalia muendelezo wa improvement za uchezaji, sio mechi huku ya Yanga, kule ya Simba!
simba imara mbona imetolewa na vibonde ud songo? huo uchambuzi uchwara
We mwenye timu bora umekuwa kikundi cha ushangiliaji huoni tofauti?Yanga imekuwa na mwendo wa kusuasua toka msimu mpya umeanza. Ilijitapa kw usjili wa mafungu mafungu. Mpaka sasa hakuna mchezaji aliyesajiliwa na kuonesha kiwango kikubwa.
Timu haina chemistry, haiwezi piga pasi mbili kwa usahihi.
Kocha Zahera ameshindwa kutengeneza muunganiko wa timu.
Namtabiria Mwinyi Zahera kufukuzwa mapema sana.
Mechi zaidi ya tano hajaweza tatua tatizo la umaliziaji kwa washambuluaji wake
Shida foward hivi kweli yanga muda wote huo wameshindwa pata kibali cha molinga
Leta mechi za msimu huu tangu unaanza, kuanzia za kirafiki, ligi ya bara hadi CAF. Simba haijapoteza hata mechi moja msimu huu. Yanga amepigwa na Polisi na Ruvu Shooting.... Kwani mechi unazozitumia kuinanga Yanga nazo si ‘baadhi’? Au ‘baadhi’ inayokatazwa ni ya mechi za Simba tu?
Umezidi kuwa hueleweki!
Unakijua unachoongea Lakini? Mechi ya Yanga na Polisi ni ya Ligi? Ni ya msimu huu? Kama ni hivyo, Mbona umekataa kuhusishwa mechi ya kirafiki ya Simba na Township Rollers? Mbona hizo za CAF hutaki kujua kwamba hiyo nzima yako yenyewe imeshatolewa ilhali hiyo mbovu inaendelea? Zitapatikanaje mechi za Msimu huu wakati Yanga haina mechi za Msimu huu wa Ligi, ina mechi ya Msimu huu tu? Umejitahidi, lakini bado hujaeleweka.Leta mechi za msimu huu tangu unaanza, kuanzia za kirafiki, ligi ya bara hadi CAF. Simba haijapoteza hata mechi moja msimu huu. Yanga amepigwa na Polisi na Ruvu Shooting.
Nimekuambia msimu huu kuanzia za kirafiki, ligi ya bara na za CAF. Rudi tena ukasome vizuri. Au unataka kusema mechi ya Polisi haikuwa katika mechi za kirafiki kujiandaa katika msimu huu?Unakijua unachoongea Lakini? Mechi ya Yanga na Polisi ni ya Ligi? Ni ya msimu huu? Kama ni hivyo, Mbona umekataa kuhusishwa mechi ya kirafiki ya Simba na Township Rollers? Mbona hizo za CAF hutaki kujua kwamba hiyo nzima yako yenyewe imeshatolewa ilhali hiyo mbovu inaendelea? Zitapatikanaje mechi za Msimu huu wakati Yanga haina mechi za Msimu huu wa Ligi, ina mechi ya Msimu huu tu? Umejitahidi, lakini bado hujaeleweka.
Yanga haijawahi kutoka hatua ya awali CAF champions league..hiyo level ya timu za Somalia..sasa ubora wa mikia huko wapiTatizo ukiambiwa Yanga ni timu mbovu, unalinganisha na mechi za Simba! Tena unalinganisha na mechi za Simba baadhi yake ni za zamani enzi zile Toto Africa haijashuka daraja! Angalia uchezaji wa timu, uangalie spirit ya uchezaji, upime kama kuna room kwa timu kuja kuwa nzuri hapo baadaye au la! Ukilinganisha mechi za Simba na Yanga utaiona Yanga iko chini sana, unachotakiwa ni kuangalia muendelezo wa improvement za uchezaji, sio mechi huku ya Yanga, kule ya Simba!
Yanga haijawahi kutoka hatua ya awali CAF champions league ya timu za Somalia..sasa ubora hnga tihuko wapi[/QUOTEy]
Jamaa muongo wewe khaaa eti Yanga haijawahi kutolewa hatua ya awali club bingwa .. Umeaza kufuatilia soka lini wewe .. ukweli unaujua ww mwenyewe Yanga imetia aibu sana ktk michezo ya kimataifa ... Jifunze kufuatilia michezo kiusahihi ili usijiaibishe ..