Yanga hamna timu, tusidanganyane

Mbona Simba uwa wanahonga na wanapasuliwa, kama mnafikiria unbtean inapatikana Kwa kuhonga endeleeni kusubiri[emoji2][emoji2][emoji2]. Siku mtakayo cheza na Yanga hongeni mtakavyo weza tuone kama hamta pasuka.
 
Huwa siongelei kitu ambacho sina ushahidi nacho, siwezi sema refa kaibeba timu ilhali mamlaka zenye kudili na hayo masuala zipo

Ninachojua Mimi huwa ni makosa ya refa kushindwa kutafsiri sheria kumi na Saba vizuri.

Kuhusu kimataifa, si Simba si Yanga, hakuna mwenye uwezo wa kuwa afford miamba kama,

Wydad,
Mc alger
Al ahly

Pamoja na wababe wengine.

Kama As vita na Al merreikh zinatutoa jasho, hiyo nusu fainali utapitia mlango gani ufike huko?

Mtawafunga hao hao Asante kotoko, na mtakatifu George na siyo Zamalek na Wale Piramid.

Club ya Orlando pirates ya huko bondeni bado inawashangaa namna mlivyotaka kulipua uwanja wa watu ,

Yaani timu imesafiri na watu si chini ya thelathini halafu wote wakakosa busara ya kuweza kushauriana kuhusu madhara ya kuwanga mbele ya kamera

Aibu, aibu, aibu
 
We jidanganye hivyo hivyo

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kama huongei kitu ambacho huna ushahidi nacho, ebu fikiria hichi unachokiita "makosa ya refa" ni msimu uliopita ambapo Yanga mlikuwa mnafululiza na press kulalamika mnaonewa na kushinikiza TFF ifungie hao marefa

Leo hii makosa ya refa yamekunusuru na kipigo unalipi la kujikosoa kwenye yale malalamiko yako ya msimu uliopita?

Simba kimataifa huwezi ukaifananisha na Yanga at any level

Hiyo miamba unayoisema wewe yote inakiri uwezo wa Simba, Al Ahly kocha wao alishawahi kusema hakuna sehemu ngumu kupata matokeo kama luoaso akiwa anacheza dhidi ya Simba

Hiyo recognization inatisha sana kuonesha sisi tupo levele gani

Ongeza na goli la sakho lililokuwa bora katika mashindano yote ya hapa Africa, brother bado tu unataka kuiweka Simba sehemu moja na Yanga?
 
Sasa wewe unashindwa kuongelea timu yako ambayo ni roho mkononi unaanza kuongelea timu ambayo timu yako aijaifikia ata robo ya ubora? Kama timu yako iyo mbovu inafanikiwa kimataifa vipi mwenzako ambae anakuzidi ubora asifanikiwe zaidi yako? Mda mwingine muwe mnaficha ujinga wenu mnakuwa mnaonyesha urofa wa viwango vya lami kabisa
 
Huyo Fiesal kweli magumashi, ina maana alishindwa vipi kuifunga Uganda? Kweli huyo jamaa hana kitu zaidi ya madude yao tu
 
Umeongea kimbea sio kitaalum, wewe ni wa kupiuzwa
 
Rage akukosea kuwabatiza lile jina aliona mbali kama mashabiki wenyewe ndio nyie mnayo safari ndefu sana, Kama unasema yanga awana timu vipi nyie mnayo timu? Maana ukishaisema ivyo timu inayokuzidi ubora kila idara inamaanisha wewe ndo kabisaaaa auna kila kitu, nilitegemea utaleta sababu za kiufundi kuonyesha icho ulichokisema kumbe ni tantalila tu za kwenye vijiwe vya kahawa,,bullshit!
 
Umesahau tulivyo waingiza kinyume na maumbile kwenye game ya ngao ja jamii miaka miwili mfululizo?
 
Hivi we kijana kazi unafanyaga saa ngapi, maana muda wote nakuona hapa jf ukibishania mambo ya Simba vs Yanga.
 
Huyo Fiesal kweli magumashi, ina maana alishindwa vipi kuifunga Uganda? Kweli huyo jamaa hana kitu zaidi ya madude yao tu
Dah Makola bana, Kwahiyo Fei ndiyo alikuwa na jukumu la kufunga vipi kuhusu Boko

Najua mnamchukia kwakuea aliganya vibaya na alichokifanya kwenu ndicho alichokifanya kwa azam
 
Hizi makala pekeka Nipashe
 
Kwakuwa Leo imetoa draw .. kweli we ni fwala.. Makolo mbona Wana mechi 3 mfululizo wanagawa Uroda
 
Azam wamepata sare lakini Kwa jinsi Walivyo kimbizwa uwanjani, sidhani kama Kuna mchezaji atashuka ndani ya gari wakifika pale chamanzi. Leo watalala ndani ya Gari, wamechoka vibaya sana.
wejamaq umeongea kinyume et!
 
Sijui kwanini utopolo wanakomaa sana kunifananisha na mnyama linapokuja suala la kimataifa. Nahisi kuna kinyesi atapinga na hilo. Akili wanazo wawili tu pale.
 
Mnapata tabu kwani mpaka sasa sioni nilicho zidiwa, kama refa angekuwa fair Azam walitakiwa wacheze 10 uwanjani tokea kipindi cha kwanza.

Halafu vipi yule MZUNGU ATAONDOKA NA MJOMBA WAKE au atabaki hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…