Yanga hamna timu, tusidanganyane

Yanga hamna timu, tusidanganyane

Mara ya mwisho timu lako lilipigwa mbili na yanga hihii ajabu ninini au umesahau mayele alivyo tetema nyuma ya bukta zenu mara mbili, kama unaona leo yanga kabebwa leta makolo wenzako uwanjani
Tena bila chupi.....mbende2.
 
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts.

1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja.

2.Utopolo wataishia hatua za awali tu, uwezo wa kwenda kuwafunga Al Hilal au St George kwa mpira ule hawana

3.Kocha wao hana uwezo, anabebwa na matukio ya ufundi nje ya uwanja

4.Wachezaji wa utopolo wazee sana, Bigirimana anatakiwa akalee wajukuu huo Burundi

5.Tuhuma za utopolo kwa TFF mara kwa mara lengo lake ni kuwatisha waamuzi ili wapate mbeleko

6.Nakiri na kutamka kwa ulimi Mayele ni mtu kazi

7.Kijana wa kizanzibar ndie nyota wa mambo ya ufund nje ya uwanja, alianzia benchi kimkakati kutokana na mambo yetu yale

8.Soka la bongo kwa yaliyotokea Leo ni mzaha mtupu
Utopolo Fc
 
Pilipili usiyo ila, inakuwashia nini?
 
Bora Azam wamepata sare ila timu yako ilipigwa goli mbili na timu hiyo hiyo unayosema mbovu au wachezaji wenu waliongwa pesa na GSM?
 
Mara ya mwisho timu lako lilipigwa mbili na yanga hihii ajabu ninini au umesahau mayele alivyo tetema nyuma ya bukta zenu mara mbili, kama unaona leo yanga kabebwa leta makolo wenzako uwanjani
Utapigwa kama ngoma umesahau Simba alivyokupiga 5
 
Yanga kuchukua ligi bila kufungwa sio stori mpya kwenye ligi yetu, simba ilishafanya hivyo miaka tisa au kumi nyuma kama sikosei.

Na hata ukikaa chini kufanya calculations ya hizo mechi utaona kabisa zile mechi ambazo Yanga ali draw kwa asilimia kubwa matokeo hayo yalilazimishwa na filimbi ya muamuzi.

Refer kwenye mechi yenu na namungo utaona ile sare mliyoipata it wasn't meant to be ila kupitia refa akafosi na kuwapa faida nyinyi.

Ngoja tuwaone kimataifa kama mtakutana na mazari ya dzaini hii
Kimataifa watabanduliwa nje ndani hamna MAREFA wa mchongo
 
Mbona Simba uwa wanahonga na wanapasuliwa, kama mnafikiria unbtean inapatikana Kwa kuhonga endeleeni kusubiri[emoji2][emoji2][emoji2]. Siku mtakayo cheza na Yanga hongeni mtakavyo weza tuone kama hamta pasuka.
Kipindi Simba anakupasua 5 aka hamsa ulikuwa bado village
 
Feisal ndo ana nyota ya uchawi mbona kwenye mechi za kimataifa utopolo wanabanduliwa kama under dog
 
Profesa
IMG-20220907-WA0027.jpg
 
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts.

1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja.

2.Utopolo wataishia hatua za awali tu, uwezo wa kwenda kuwafunga Al Hilal au St George kwa mpira ule hawana

3.Kocha wao hana uwezo, anabebwa na matukio ya ufundi nje ya uwanja

4.Wachezaji wa utopolo wazee sana, Bigirimana anatakiwa akalee wajukuu huo Burundi

5.Tuhuma za utopolo kwa TFF mara kwa mara lengo lake ni kuwatisha waamuzi ili wapate mbeleko

6.Nakiri na kutamka kwa ulimi Mayele ni mtu kazi

7.Kijana wa kizanzibar ndie nyota wa mambo ya ufund nje ya uwanja, alianzia benchi kimkakati kutokana na mambo yetu yale

8.Soka la bongo kwa yaliyotokea Leo ni mzaha mtupu
Na ukaishia kupigwa 5
 
Back
Top Bottom