kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Moja bila. Yanga wanaongozaKwahiyo matokeo hadi sasa yapoje
Yanga wamepita goli baada ya mchezaji mmoja wa Aegile kupewa kadi nyekundu.Kwahiyo matokeo hadi sasa yapoje
Upoje mkuu? Mzuri sana au hovyo?Kiukweli, mpira ninaouona sio nilioutegemea kwa Yanga
Refa sijui alishindwa vipi kufikiria kuwa ile ni mechi ya burudani tu. Kitendo kile Cha kutolewa mchezaji kwa kadi yekundu kimewastajabisha sana karibu kila mtu haijalishi mwana Yanga au sio mwana yanga. Nimemuona Deusi Kaseke akipigwa na mshangao wa kuhamaki wakati refa akionesha kadi nyekundu.Mimi mwanayanga ila kadi nyekundu imeharibu ladha kiukweli... tungeipotezea tu tuwe sawa sawa tuone ubora wa timu yetu ikicheza na mtu aliyekamilika.. wote tuwe 11 kwa 11
Kadi nyekundu imetolewa kiulaini sana .. angalau ingekuwa rafu kubwa
Refa sijui alishindwa vipi kufikiria kuwa ile ni mechi ya burudani tu. Kitendo kile Cha kutolewa mchezaji kwa kadi yekundu kimewastajabisha sana karibu kila mtu haijalishi mwana Yanga au sio mwana yanga. Nimemuona Deusi Kaseke akipigwa na mshangao wa kuhamaki wakati refa akionesha kadi nyekundu.
Kabisa Mkuu hawa jamaa maneno mengi tu.naona Simba ikibeba kombe kwa mara ya 4. hakuna timu pale