Yanga hata mechi ya kirafiki mnabebwa?Aibu sana

Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano.

Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli?
utakuwa unaingiliwa nyuma
 
Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano.

Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli?

Refa huyu ni kama Tume ya Uchaguzi Mkuu bongo 2020. Ni mbeleko kwa CCM hata isipostahili na hivyo kuharibu mpira/uchaguzi. Kwa lugha ya Maalim Seif, huu ni ukhanithi.
 
Back
Top Bottom