M Montserrat JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 10,938 Reaction score 14,745 Aug 30, 2020 #21 kibaravumba said: Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano. Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli? Click to expand... utakuwa unaingiliwa nyuma
kibaravumba said: Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano. Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli? Click to expand... utakuwa unaingiliwa nyuma
K Kasongo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2007 Posts 3,150 Reaction score 2,273 Aug 31, 2020 #22 MKATA KIU said: Ndio maana marefa wetu wanazarauliwa.. hata mashindano ya caf huwezi kuona refa kutoka Tanzania anapewa nafasi. Ametuharibia mechi leo Click to expand... Refa alikuwa nani?
MKATA KIU said: Ndio maana marefa wetu wanazarauliwa.. hata mashindano ya caf huwezi kuona refa kutoka Tanzania anapewa nafasi. Ametuharibia mechi leo Click to expand... Refa alikuwa nani?
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,064 Reaction score 10,468 Aug 31, 2020 #23 kibaravumba said: Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano. Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli? Click to expand... Refa huyu ni kama Tume ya Uchaguzi Mkuu bongo 2020. Ni mbeleko kwa CCM hata isipostahili na hivyo kuharibu mpira/uchaguzi. Kwa lugha ya Maalim Seif, huu ni ukhanithi.
kibaravumba said: Naona mnacheza rafu nyingi na refa hawapi kadi.Matokeo yake mnasababisha wageni wawe na hasira na kupelekea mmoja kupewa kadi mbili za njano. Hivi mnampango wa kupima wachezaji wenu kweli? Click to expand... Refa huyu ni kama Tume ya Uchaguzi Mkuu bongo 2020. Ni mbeleko kwa CCM hata isipostahili na hivyo kuharibu mpira/uchaguzi. Kwa lugha ya Maalim Seif, huu ni ukhanithi.