Yanga hatoki kwa Singida United leo

Yanga hatoki kwa Singida United leo

Tayar mtu kaonja mbegu huko.

YANGA 0 -1 SINGIDA
 
Full Time:

Yanga 1 - 1 Singida


Mwenye povu aje mimi hii mechi nimeionea kwenye beseni mapema watu wakabisha.

Simba juu Point 5

No kiporo
No ugoro

Jangwani uchochoro.
 
LABDA tigo pesa ziwe NETWORK MBOVU.,,,YANGA kushinda ni lazima,,,,YANGA mechi NGUMU ni ya MNYAMA TU,,,na ugumu wake ni kwamba HAINUNULIKI....nyingine zote,,,itategemea na NETWORK ZA MIAMALA YA SIMU,,
Umewaona Yanga
 
Back
Top Bottom