ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card ♦️ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo
Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa. Walitoa siku 7sijui hazijaisha
Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika Kupotezwa ni sehemu ya mchezo