Yanga Hatuna Furaha

Yanga Hatuna Furaha

Endelea kuota USM Algiers sio Marumo

Wale mpira wanaujua mlikuwa mnakutana na vibonde
Wewe mpira haujui, mpira ni kujipanga kimbinu na kiufundi hao unaowaona ni kibonde USM Alger alikula chuma mbili kule South Africa. Lakini Yanga akamfungia huko huko South Africa. Mpira ni kuweza kuingia na approach nzuri na bora kuliko mpinzani wako. Marumo unayemdharau kamkanda huyo USM Alger
IMG_20230531_214956.jpg
 
Kivumbi na Jasho lakin wapii, wale warabu nasikia walipokuja kwa mkapa walivaa viatu vyenye mfumo wa Four wheel drive 4×4,ndo maana walikua hawaanguki na ile mvua yote.

ile kiatu unaweza cheza hadi kwenye majaruba ya mpunga kule misungwi

Jamani hawa watu watatua aisee ingewezekana hilo kombe walichukue kuliko kuharbu gharama zetu... hzo medani za kushiriki watutumie kwenye basi.

Wanayanga tunawaza tuanze kubana pumbu zetu kuanzia sasa lakin si zitakua nyekundu mwishowe zikatike?

Aziza Shayo apigwe homa kali asiende kule huyu tulipigwa usiku wa manane tuliuziwa kitimoto badala ya mbuzi.

Mwiko nyuma mbele kwa mbele Daima.

YANGA AFRICA.
Dah😅😅😅😅mwiko mbele na nyuma
 
Ngoja nikumbushe kitu

Mechi yenu na Club Africain hapa kwa Mkapa mliyotia sare mkatoa sio wachambuzi waliokuwa wakwanza kusema hamtoboi kwenye 2nd leg.

Mashabiki nyinyi ndio mliokuwa wakwanza kukata tamaa, na wengine mlikuwa cowards hamkutaka hata kusema chochote kama ambavyo saizi wengine wamekaa kimya

View attachment 2641815

Kwenye ishu ya Al Hilal hapo umeandika as if mlifika malengo yenu.

Kuweka kumbukumbu sawa mechi ya Wydad na Simba ilitokea scenario kama yenu kwenye mechi dhidi ya Al Hilal

Kila mtu alisema Simba atafungwa bao nyingi na wewe sio kama hukuwaona humu, kuna huyu Dr Matola PhD aliwahi kutoa post ikionesha Simba itapigwa 8-0 kuke Morroco

Tulimuangalia kama mshabiki tu mwenye wa Gongowazi ambaye anaweza kusema chochote tu ili kuipa furaha nafsi yake

Pia kuna wachambuzi wengi walitabiri kipigo cha magoli mengi kwa Simba nao hatukuwaona kama haters kama nyinyi mnavyojiliza liza na kujiona kama mnawengwa.

Siku wanayotoa draw za robo viongozi wenu walivyoona tuneoangwa na Wydad walianza kufurahi na kutudhihaki kuwa tumeishia hapo tena kwa kipigo kikubwa

Leo hii mnataka mseme nini kuhusu watu kuacha kushabikia timu pinzani na nyie?

Leo hii mnataka kuzuia nini au tuonekane hater kwa kupita njia zile ambazo nyinyi mmekuwa mnapita na hatuwasemi chochote?
Narudia tena mpira wa miguu ni mchezo usiotabirika lolote linaweza kutokea. Kuleta mifano ya hao watu hakuwezi kubadilisha ukweli kuwa kwenye mpira lolote linaweza tokea.
 
Medali bila kombe ni shanga tu. Vaeni kiunoni.
 
Narudia tena mpira wa miguu ni mchezo usiotabirika lolote linaweza kutokea. Kuleta mifano ya hao watu hakuwezi kubadilisha ukweli kuwa kwenye mpira lolote linaweza tokea.
Kama ni mpira usiotabirika hiyo inazuiaje watu kutoa maoni yao?

Kwanini mtu akitoa maoni yanayoonesha uwezekano wa timu yako kufungwa, ukasirike?

Mbona wachambuzi wakitoa maoni kuwa mnaenda kufanya come back hujawahi kusema mpira hautabiriki?

Kwanini uumizwe na maoni ya watu huku ukijua kabisa kutokana na mpira kutotabirika hivyo uwezekano wa hayo maoni kuja kutokea vile vile upo pia?
 
Kama kuzungumza ukweli ndio kukasirika basi endelea kufikiria unachofikiria. Kwasababu hata hali ya kujiaminisha kuwa unaenda kufanya comeback ni jambo hilo hilo moja ambapo mpira hauna kanuni ya kutokea kile kile unachotaka au kukiwaza. Kwavile upo humu na akili ya kubishana basi endelea kubishana tu.
 
Kwako wewe anayekubali kila kitu unachokiandika hawezi kuhesabika kama mbishi

Unakataa watu wasitoe maoni yao negative kuhusu Yanga kwa hoja kuwa mpira hautabiriki.

Ila mtu mwingine akitoa maoni kuwa Yanga ataenda kushinda hujitokezi kupingankwa madai yale yale ya mpira hautabiriki.

Hiyo ina maanisha wewe hupendi kuona au kusikia Yanga inasemwa negative kwa hiyo kusema mpira hautabiriki ni kichaka tu kwasababu sehemu zingine zinazokuridhisha wewe hujaonesha kufuata falsafa hiyo.
 
Kwani niko taifa mimi nalowaje kwanza wakati mvua tunaleta sisi
Vipi unafanya mazoezi ya kunyanyua kwapa kama juzi au ndo umekata tamaa kisa mvua ya simba?
Mbona mnaumia sana waarabu koko wa Mchambawima?
Sisi tuna amani, tunajiamini na Imani kubwa.
Tunaelewa huu msimu, mmelamba upupu, now mnapapatika tu.

#WHYNOTUS#
#teamyawananchi#
#yangadaimambelenyumamwiko#
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
 
Ngoja nikumbushe kitu

Mechi yenu na Club Africain hapa kwa Mkapa mliyotoa sare sio wachambuzi waliokuwa wakwanza kusema hamtoboi kwenye 2nd leg.

Mashabiki nyinyi ndio mliokuwa wakwanza kukata tamaa, na wengine mlikuwa cowards hamkutaka hata kusema chochote kama ambavyo saizi wengine wamekaa kimya

View attachment 2641815

Kwenye ishu ya Al Hilal hapo umeandika as if mlifikia malengo yenu.

Kuweka kumbukumbu sawa mechi ya Wydad na Simba ilitokea scenario kama yenu kwenye mechi dhidi ya Al Hilal

Kila mtu alisema Simba atafungwa bao nyingi na wewe sio kama hukuwaona humu, kuna huyu Dr Matola PhD aliwahi kutoa post ikionesha Simba itapigwa 8-0 kuke Morroco

Tulimuangalia kama mshabiki tu wa Gongowazi ambaye anaweza kusema chochote tu ili kuipa furaha nafsi yake.

Pia kuna wachambuzi wengi walitabiri kipigo cha magoli mengi kwa Simba nao hatukuwaona kama haters kama nyinyi mnavyojiliza liza na kujiona kama mnawengwa.

Siku wanayotoa draw za robo viongozi wenu walivyoona tunepangwa na Wydad walianza kufurahi na kutudhihaki kuwa tumeishia hapo tena kwa kipigo kikubwa.

Leo hii mnataka mseme nini kuhusu watu kuacha kushabikia timu pinzani na nyie?

Leo hii mnataka kuzuia nini au tuonekane hater kwa kupita njia zile ambazo nyinyi mmekuwa mnapita na hatuwasemi chochote?
Case [emoji735]
 
Back
Top Bottom