Yanga Hatuna Furaha

Yanga Hatuna Furaha

Mbona mnaumia sana waarabu koko wa Mchambawima?
Sisi tuna amani, tunajiamini na Imani kubwa.
Tunaelewa huu msimu, mmelamba upupu, now mnapapatika tu.

#WHYNOTUS#
#teamyawananchi#
#yangadaimambelemyumamwiko#
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
[emoji625]
 
Yanga vs Al Hilal
Maneno ya waachao Mbuzi na mashabiki wa roborobo fc a.k a wakosa kombe, wakaongea maneno mengi mara ooho Yanga mtapigwa nyingi mara ooho Ibenge hatari lakini mwisho wa siku Yanga kafungwa goli moja huku Ibenge akipaki treni na kukubali kuwa mnyonge

Mechi ya Yanga na Club Africain. Vile vile mkaongea mengi sana kuwa kwa mpira waliocheza club Africain kwa Mkapa basi kule mtayaoga mengi lakini mwisho wa siku wametolewa kule kule kwake. Yaliongelewa vs timu nyingi ikiwemo Marumo, Rivers n.k lakini wakapigiwa huko huko kwao na record zao zikavujwa. Bado tu hamjajifunza kuongea kwa akiba? Huu ni mpira atakayejipanga vizuri atapata matokeo haijalishi unacheza wapi. Hivyo chochote kinaweza tokea siku hiyo.
Endeleeni kuota ndoto za mchana . Kama mnafikiri ile ni singida big star kwamba mtachonga tu na mchembe kisha anawaachia mechi basi mmefeli
 
Yanga vs Al Hilal
Maneno ya waachao Mbuzi na mashabiki wa roborobo fc a.k a wakosa kombe, wakaongea maneno mengi mara ooho Yanga mtapigwa nyingi mara ooho Ibenge hatari lakini mwisho wa siku Yanga kafungwa goli moja huku Ibenge akipaki treni na kukubali kuwa mnyonge

Mechi ya Yanga na Club Africain. Vile vile mkaongea mengi sana kuwa kwa mpira waliocheza club Africain kwa Mkapa basi kule mtayaoga mengi lakini mwisho wa siku wametolewa kule kule kwake. Yaliongelewa vs timu nyingi ikiwemo Marumo, Rivers n.k lakini wakapigiwa huko huko kwao na record zao zikavujwa. Bado tu hamjajifunza kuongea kwa akiba? Huu ni mpira atakayejipanga vizuri atapata matokeo haijalishi unacheza wapi. Hivyo chochote kinaweza tokea siku hiyo.
Lakini sio kwa Alger...Nadhani unatambua hii sio saiz ya Monastr
 
Ukiwa na akili timamu unatolea mfano wa al hilal utadhani mlimtoa,halafu matokeo ya club africain yalikuwa yanawabeba nyinyi kama vile ya simba na ud songo.
 
Lakini sio kwa Alger...Nadhani unatambua hii sio saiz ya Monastr
Hao Alger wanaingia uwanjani zaidi ya wachezaji 11? mpira ni kujipanga vizuri kimbinu na kiufundi. Hata Marumo mnaowabeza kuwa vibonde aliweza kumfunga hao USM Alger goli mbili kwa bila kule kwa Madiba. Ni swala la kujipanga tu kwa timu hakuna siri nyingine. Ni kuingia na mbinu sahihi, wachezaji kutofanya makosa na pia kutumia kwa ufasaha nafasi zinazopatikana. Lolote linaweza kutokea kwenye mpira, either Yanga kufungwa goli nyingi au chache au sare au Yanga kuchukua kombe au Yanga kushinda lakini asichukue kombe.
 
6ce609b2-aa62-4cba-9f10-5a0cc1d4a109.jpg
 
Back
Top Bottom