Subiri muda ndo utaongea
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.
Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.
NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
Kama umeangalia mpira nani alicheza mpira nzuri unazani
We kweli Bubu...Sijaona mpira zaidi ya bahati imetudondokea
Shame to youAya half time mpaka saivi kuna jipya mmeona au
We ni mikia tuNimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.
Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.
NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
Wananchi wako njema vichwani mwao, siyo Kama wewe kilaza. Nenda kajifunze kupa gilia sentensi zako ili ueleweke na wasomajiHapana mi mwananchi pure
Hakuna mwananchi mwenye tabia za mchezo wa Hajji ManaraHapana mi mwananchi pure
Fantastic umemjibu kuntuUnataka mabadiliko yapi kwani ulichangia sh ngapi? Mpira ni burudani, ukiona haupati burudani unayoitaka si uhamie utakapoona utapata burudani unayoitaka. Sio kila siku kuandika nyuzi za malalamiko Kama vile kuna mchango uliochangia kwa Yanga.
Kenge weeeAya half time mpaka saivi kuna jipya mmeona au
Huna hoja tena,wewe ulisemaje tred yako? Irudie kuisoma.Kama umeangalia mpira nani alicheza mpira nzuri unazani
Tangia Simba waanze kuongozwa na Bar ya Bara (Bar-Bara) wameiga mifumo ya jinsia ingine ikiwemo kufuatilia kila siku maisha ya jirani yake!Aya half time mpaka saivi kuna jipya mmeona au
Acha zarauTangia Simba waanze kuongozwa na Bar ya Bara (Bar-Bara) wameiga mifumo ya jinsia ingine ikiwemo kufuatilia kila siku maisha ya jirani yake!
Sent using Jamii Forums mobile app