Yanga hatutotoboa kwa Kagera Sugar

Yanga hatutotoboa kwa Kagera Sugar

Naona mwisho wa siku ni wewe umetobolewa
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.

Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.

NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
 
Kama umeangalia mpira nani alicheza mpira nzuri unazani

Zinazotakiwa ni point 3 tu muhimu bwashee. Na zimepatikana. Isitoshe mpaka mapumziko Timu ya Wananchi iliongoza kwa ball possession ya 53% shidi ya 47% ya hao Kagera Sugar.

Tunashukuru pia kwa hayo maono yako kutofanikiwa.
 
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.

Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.

NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar
We ni mikia tu
 
UNAONAJE AIBU UKISOMA MAGAZETI YALEOO
BAKIZA NA YAKESHOOO MDOMO...
 
Unataka mabadiliko yapi kwani ulichangia sh ngapi? Mpira ni burudani, ukiona haupati burudani unayoitaka si uhamie utakapoona utapata burudani unayoitaka. Sio kila siku kuandika nyuzi za malalamiko Kama vile kuna mchango uliochangia kwa Yanga.
Fantastic umemjibu kuntu
 
Back
Top Bottom