Simba mwenye beki borakafungwa goli ngapi na Yanga kafungwa goli ngapi , muuunganiko upi kaungane basi weweYanga wala tusijipe moyo na matokeo ya jana timu bado kabisa na tuna safari ndefu kwa sababu zifuatazo
1. Muunganiko wa timu bado kabisa kuna kazi ya ziada inahitajika
2. Mabeki muda mwingi wanakatika sasa tukikutana na timu tishio kama azam na simba tutafungwa ya kutosha
3. Sijaona creative passes zozote kwenye final third za mpinzani wetu
4. Wings mara zote zinaingia ndani badala ya kuchanua kutengeneza wigo mpana wa kupokea mipira
5. Bado hakuna striker mwenye target ya goli hadi dakika hii
** hayo machache tu kuna mengi tutakuja kuambiana
Wewe pia hujui kituHujui mpira wewe
Matako ya nyani we. Fungua tred nyingine,elezea huu utumbo mwingine. Lakini kwenye huu uzi ume-fail mbayaaaaaa....! Akili yako isingekuwa kilema ungeikimbia hii tredYanga wala tusijipe moyo na matokeo ya jana timu bado kabisa na tuna safari ndefu kwa sababu zifuatazo
1. Muunganiko wa timu bado kabisa kuna kazi ya ziada inahitajika
2. Mabeki muda mwingi wanakatika sasa tukikutana na timu tishio kama azam na simba tutafungwa ya kutosha
3. Sijaona creative passes zozote kwenye final third za mpinzani wetu
4. Wings mara zote zinaingia ndani badala ya kuchanua kutengeneza wigo mpana wa kupokea mipira
5. Bado hakuna striker mwenye target ya goli hadi dakika hii
** hayo machache tu kuna mengi tutakuja kuambiana
Muunganiko wa timu sio kazi ya siku moja au mwezi mmoja,muunganiko unatengenezwa,haudondokiSimba mwenye beki borakafungwa goli ngapi na Yanga kafungwa goli ngapi , muuunganiko upi kaungane basi wewe
Simba endeleeni kuunganika wakati yanga tunaendelea kukusanya pointi,Hujui mpira wewe
We mkun..du nini nani unamwambia matako ya nyani kwani huwezi kuandika bika kutukana kuna wakubwa wako humu acha mambo ya ajabuMatako ya nyani we. Fungua tred nyingine,elezea huu utumbo mwingine. Lakini kwenye huu uzi ume-fail mbayaaaaaa....! Akili yako isingekuwa kilema ungeikimbia hii tred
FirigisiWe mkun..du nini nani unamwambia matako ya nyani kwani huwezi kuandika bika kutukana kuna wakubwa wako humu acha mambo ya ajabu
Naona Isha geuka thread ya matusiWe mkun..du nini nani unamwambia matako ya nyani kwani huwezi kuandika bika kutukana kuna wakubwa wako humu acha mambo ya ajabu
Babu tulishatoboa tundu la Kagera zamani, vipi unajisikiaje?Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground kwa nia moja tu ya kutafuta matokeo.
Ukija upande wetu yanga hadi leo first eleven haijapatikana na ukipima performance ya mechi mbili za mwanzo unaona kabisa Kagera wametuzidi kimchezo..sasa piga mahesabu hapo tubaenda kucheza kwao je kuna kuchomoka hapo.
NB: hayo ni maono yangu tu kila mtu ana namna yake ya kupambanua aonavo yeye lakini yote juu ya yote sioni kama tutachomoka kwa kagera sugar