Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
- Thread starter
- #61
Yanga wala tusijipe moyo na matokeo ya jana timu bado kabisa na tuna safari ndefu kwa sababu zifuatazo
1. Muunganiko wa timu bado kabisa kuna kazi ya ziada inahitajika
2. Mabeki muda mwingi wanakatika sasa tukikutana na timu tishio kama azam na simba tutafungwa ya kutosha
3. Sijaona creative passes zozote kwenye final third za mpinzani wetu
4. Wings mara zote zinaingia ndani badala ya kuchanua kutengeneza wigo mpana wa kupokea mipira
5. Bado hakuna striker mwenye target ya goli hadi dakika hii
** hayo machache tu kuna mengi tutakuja kuambiana