Yanga hawaitambui mechi vs simba ya tarehe 3 July..

Mi nasema,kama kweli serikali ndiyo iliwaomba TFF wasogeze mechi,basi kitendo cha yanga kutoitambua mechi ya tarehe 3 ni kitendo cha uasi dhidi ya serikali.

Kama serikali haikutoa maelekezo,basi ni wakati muafaka kutoka hadharani na kukemea vikali tabia ya taasisi nyeti kama TFF kuisingizia katika jambo kama hili kwa maslahi ya timu moja.
Hadi sasa sijaona kama serikali imekanusha kusingiziwa kwenye hili.

Kama walishauri bila kujua kanuni zinasemaje,na hawakuwa na sababu ya msingi,walipaswa kuiamuru TFF ikanushe barua yake ya kuahirishwa kwa mechi huku serikali ikisingiziwa.Vinginevyo kama walisingiziwa na wakanyamaza,Katibu mkuu wizara ya habari na michezo anapaswa ajiuzuru kwa kushindwa kuingilia kati suala la serikali kuchafuliwa kwa kusingiziwa na TFF kwa jambo ambalo haikulifanya.Ulikuwepo muda wa kulifanyia kazi kabla ya saa 11.

Ila kama kweli serikali inajua ilihusika,basi viongozi washabiki wa yanga waliopo serikalini,waishauri timu yao isijipime nguvu na serikali.Kama wanaruhusu hivyo,basi hawana nia njema na Rais wetu.Nitaanza kuwa na mashaka nao
huyu waziri alishasema serikali ilisogeza mbele kwa masaa mawili kwa nia njema amri ilitoka serikalini lakini mzigo wa mavi wamemuachia karia na Tff yake hadi bungeni huko Tarimba anakuambia ni simba waliosogeza mechi mbele kwa kuhofia kufungwa.....
waziri.PNG
 
haya ni maelekezo ya Hersi kuvuruga asiulizwe tena ubingwa. Nawashauri TFF iwape hizo point Yanga tuone watafika wapi
 
Watu weweeeeee watu utoooooo people sema utooopoloooooooooooo,dadeki hatari sana hawa watu
yaani ile mechi ilihairishwa na wizara inayoongozwa na mwanachama wao waziri bashungwa lakini lawama zote wanaangushia jumba bovu wasiohusika jameni tarehe 3 hawa jamaa wanakimbia tena.
Hii takataka Utopolo waliiokotea jalala gani
View attachment 1806741
 
Hii kauli ya Bumbuli ni kauli ya kichochezi kabisa ambayo ikiachwa ipite hivi hivi bila uwajibishwaji basi tujiandae kwa madhara makubwa sana kwenye soka letu huko mbele ya safari. Na hata kwenye sekta nyinginezo wanaweza kutokea watu wa hovyo kama hawa wasipochukuliwa hatua mapema. Kitendo cha serikali na TFF kukaa kimya mpaka sasa hivi bila kumchukulia hatua Bumbuli inaonyesha jinsi gani watanzania tusivyo makini. Siku zote madhara makubwa husababishwa na vyanzo vidogo. Hivi ina maana ule mkutano wa TFF, Simba, Yanga na Wizara ulikuwa ni bla bla tu. Kwa mtizamo wangu kwa kuwa Bumbuli ameenda "live" kwenye vyombo vya habari basi TFF na serikali kila mmoja kwa wakati wake wangeuhoji uongozi wa Yanga haraka sana iwapo wamemtuma huyo Bumbuli kutangaza kupingana na maazimio ya kikao maalum kati ya Simba, Yanga, TFF na serikali au ni maoni yake binafsi kama Bumbuli. Kama uongozi wa Yanga ndio uliomtuma kupima kina cha maji basi uadhibiwe wote bila kupepesa na kama ni kiherehere chake aadhibiwe huyo Bumbuli mwenyewe kama ilivyotokea kwa Mwakalebela. Je serikali na TFF zinasubiri tena washabiki wafike uwanjani wakute hakuna mechi ndio wachukue hatua? Je waliokati tiketi na kuahidiwa wazitumie kwenye mchezo wa marudiano watafidiwa na nini? Je sheria itafuatwa kwa ukamilifu na Yanga kushushwa daraja? Je iwapo vurugu zitatokea ni nani atawajibishwa?

Wakati mwingine najiuliza sipati majibu. Hivi mfadhili GSM alipoamua kuweka fedha zake kwenye timu kama Yanga alifikiria nini maana nikitizama naona kama kuna ombwe kubwa sana la uongozi hasa uwepo wa watu kama Bumbuli na Mwakalebela. Wakati mwingine wanafanya watu makini kama wakili Simon naye aonekane kama wao tu. Ni wakati sasa wa wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga kuungana na kwenda kuwashawishi watu makini, wenye weledi na uchungu na Yanga kama Charles Boniface, Ali Mayai, Sekilojo Chambua, Jonas Tiboroha na wengineo waingie rasmi kwenye uongozi wa Yanga hasa ikizingatiwa sasa hivi Yanga ina ufadhili rasmi wa GSM kwa hiyo pesa ipo ila weledi tu ndio umekosekana. Vinginevyo Yanga itabakia inashabikia tu Simba kutolewa na Kaizer kwenye robo fainali ya CL kwa "aggreagate" ya 4-3 ilihali wao wanakimbia kucheza na hiyo Simba. Na iwapo wanaikimbia Simba kwenye mechi ya ligi vipi wakipangwa na Mamemlodi au Al Haly kwenye CL je nako watakimbia?

Kwa maoni yangu masuala yoyote yanayohusu Simba na Yanga ni masuala ya kitaifa kwani yanahusisha watu wengi hivyo basi serikali inapaswa iingilie kati mapema na kuchukua hatua zinazostahiki bila kuogopa wala kumuonea mtu kwani madhara yoyote yakitokea italaumiwa serikali wakati wasababishaji watakuwa wamekaa sebuleni kwao wametulia. Na tuliona kwenye awamu iliyopita baadhi ya viongozi wa soka waliokiuka maadili ya soka na kujihusisha na jinai walichukuliwa hatua na serikali na wala hata FIFA haikuingilia. Na watu aina ya Bumbuli hao wasipewe nafasi kabisa katika soka letu au hata kwenye sekta nyingine kwani watakuwa wanaleta mitafaruku zaidi badala ya kujenga na kuleta maendeleo.
 
Una kichaa wewe !! Kwanini achukuliwe msemaji wa yanga na sio yanga ? Hujui yeye kazi Yake ni kutoa taarifa na maamuzi ambayo yamefanywa na Yanga Kama taasisi?

Halafu serikali inaingiliaje michezo wakati kwa Mujibu wa FIFA anaepaswa kuingilia ni TFF
 
Mi nasema,kama kweli serikali ndiyo iliwaomba TFF wasogeze mechi,basi kitendo cha yanga kutoitambua mechi ya tarehe 3 ni kitendo cha uasi dhidi ya serikali.

Kama serikali haikutoa maelekezo,basi ni wakati muafaka kutoka hadharani na kukemea vikali tabia ya taasisi nyeti kama TFF kuisingizia katika jambo kama hili kwa maslahi ya timu moja.
Hadi sasa sijaona kama serikali imekanusha kusingiziwa kwenye hili.

Kama walishauri bila kujua kanuni zinasemaje,na hawakuwa na sababu ya msingi,walipaswa kuiamuru TFF ikanushe barua yake ya kuahirishwa kwa mechi huku serikali ikisingiziwa.Vinginevyo kama walisingiziwa na wakanyamaza,Katibu mkuu wizara ya habari na michezo anapaswa ajiuzuru kwa kushindwa kuingilia kati suala la serikali kuchafuliwa kwa kusingiziwa na TFF kwa jambo ambalo haikulifanya.Ulikuwepo muda wa kulifanyia kazi kabla ya saa 11.

Ila kama kweli serikali inajua ilihusika,basi viongozi washabiki wa yanga waliopo serikalini,waishauri timu yao isijipime nguvu na serikali.Kama wanaruhusu hivyo,basi hawana nia njema na Rais wetu.Nitaanza kuwa na mashaka nao
tatizo lenu mnaichukulia yanga kiuwepesi wepesi,hata Simba nayo ikiamuaga bangi bangi,hizi timu nikubwa zaidi unavyo zichukulia.hao yanga unadhan hawaoni mchezo unaochezwa Kati ya Simba na tff ?
 
huyu waziri alishasema serikali ilisogeza mbele kwa masaa mawili kwa nia njema amri ilitoka serikalini lakini mzigo wa mavi wamemuachia karia na Tff yake hadi bungeni huko Tarimba anakuambia ni simba waliosogeza mechi mbele kwa kuhofia kufungwa.....View attachment 1806643
yaani Tarimba badala ya kumhoji waziri ambaye ni yanga mwenzake anawarukia Simba
 
Una kichaa wewe !! Kwanini achukuliwe msemaji wa yanga na sio yanga ? Hujui yeye kazi Yake ni kutoa taarifa na maamuzi ambayo yamefanywa na Yanga Kama taasisi?

Halafu serikali inaingiliaje michezo wakati kwa Mujibu wa FIFA anaepaswa kuingilia ni TFF
Uongozi wa Yanga umeshamruka Bumbuli hivyo huu msalaba ni wake mwenyewe
IMG-20210603-WA0004.jpg
 
tatizo lenu mnaichukulia yanga kiuwepesi wepesi,hata Simba nayo ikiamuaga bangi bangi,hizi timu nikubwa zaidi unavyo zichukulia.hao yanga unadhan hawaoni mchezo unaochezwa Kati ya Simba na tff ?
Hivi unajua aliyesogeza mbele muda wa kuanza mechi ni Waziri Innocent Bashungwa mwanachama hai wa Yanga na alifanya hivyo kuiokoa timu yake na kipigo cha mbwakoko.
 
Back
Top Bottom