Yanga hawakujiandaa Kimataifa

Yanga hawakujiandaa Kimataifa

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Habari za wikiendi mashabiki wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi. Ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:–

~ Wakati Simba wanaenda kabla ya msimu wao wakabaki Kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde kabla ya msimu.

~ Wakati Simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na Al Hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda.

~ Wakati Simba anaenda Zanzibar kutafuta afya ya mwili wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi Coco Beach kwenye mchanga kuliko kucheza mchezo kutafuta afya ya mwili.

~ Wakati Simba wanasajili kwa ajili ya CAF Champions League wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga Simba, kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndiyo hizo Simba walifuata.

Hao Friends Rangers na Transit Camp pamoja na Mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye CAF Champions League. Huku kila kitu ni tofauti, kubalini kujifunza muda ujao.

NB: Subirini tar 23 muifunge Simba mrudi Kigamboni kucheza na wavuvi, ndiyo mlichobakisha!
 
Nawahurumia mnakwenda kupigwa kama dufuuuu
received_1154058485509999.jpg
 
Habari za weekend mashabiki wa soka wa Tanzania na east Africa kwa ujumla na
Hongera kwa wana lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:–

Wakati simba wanaenda pre season wao wakabaki kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde pre season.

Wakati simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na al hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda .

Wakati simba anaenda zanzibar kutafuta fitness wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi coco beach kwenye mchanga kuliko kucheza game kutafuta fitness .

Wakati simba wanasajili kwa ajili ya Caf champions league wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga simba kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndo hzo simba walifuata .

Hao friends rangers na transit camp pamoja na mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye Caf champions league huku kila kitu ni tofauti kubalini kujifunza next time.

NB : SUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA
Hawakujiandaa vipi wakati walicheza na Mbuni FC mechi za kujipima
 
Alikufa al ahly
Akafa as vita
Akafa nkana red devil
Akafa plateau United

Lete takwimu zenye kueleweka msimu uliopita na msimu huu tofauti ndo maana mnaitwa utopolo
Hawana akili nasikia..unakuta mtu mzima anarudia comment moja uzi mzima wakati wao wameshindwa kumchapa Alhail bao japo mbili tuu wakati wenzao tuliwafumua 4 halafu hao ni Namungo sisi ni Simba. Yani wanaacha kujifunza na kuangalia mnyama anawazidi mbinu gani. Yani sema hizi Id zinaficha mengi sana yani ukiangalia comment na mtu hazifanani. Hahahahq
 
Habari za weekend mashabiki wa soka wa Tanzania na east Africa kwa ujumla na
Hongera kwa wana lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:–

Wakati simba wanaenda pre season wao wakabaki kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde pre season.

Wakati simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na al hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda .

Wakati simba anaenda zanzibar kutafuta fitness wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi coco beach kwenye mchanga kuliko kucheza game kutafuta fitness .

Wakati simba wanasajili kwa ajili ya Caf champions league wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga simba kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndo hzo simba walifuata .

Hao friends rangers na transit camp pamoja na mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye Caf champions league huku kila kitu ni tofauti kubalini kujifunza next time.

NB : SUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA
Gsmm anaonga wachambuzi maandazi ili waipambe uto kwenye media na kuwaponda Simba, hatma yake ndio hio sasa
 
Hawana akili nasikia..unakuta mtu mzima anarudia comment moja uzi mzima wakati wao wameshindwa kumchapa Alhail bao japo mbili tuu wakati wenzao tuliwafumua 4 halafu hao ni Namungo sisi ni Simba. Yani wanaacha kujifunza na kuangalia mnyama anawazidi mbinu gani. Yani sema hizi Id zinaficha mengi sana yani ukiangalia comment na mtu hazifanani. Hahahahq
Ilikuwa FRIEND MATCH

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom