Yanga hawakujiandaa Kimataifa

Yanga hawakujiandaa Kimataifa

Ndo maana nasema Rage akukosea kwenye ule msemo wake, mashabiki wa simba wamebaki na akili za kuvukia barabara tu, kwa timu iyo ya de agosto uliyokutana nayo ata ingecheza na Ihefu isingepata matokeo kwa mpira ule wanaocheza, ukijaribu kucompare Al hilal waliyokutana nayo yanga ni sawa na mlima kulinganisha na kichuguu, Mfurahi kwa kushinda mechi yenu lakini msianze kujimwambafai kuwa mmekutana na kipimo cha mechi ngumu kulinganisha na yanga mtakuwa mnajidanganya pakubwa, Mmekutana na timu ambayo kwanza inaonyesha kabisa imejaza vijana wengi wasiokuwa na uzoefu wowote wa kucheza michuano mikubwa, pili ni timu ambayo squad yake ni butu kuliko maelezo, tatu ni timu inayocheza mpira wa kishule shule sana yani utoto mwingi na uzoefu umewahukumu, kipigo walichopigwa na namungo kipindi kile cha goli 6 akikuwa cha bahati mbaya kilikuwa ni halali yao kulingana na kiwango walichonacho
Kwa hyo al hilal na zalan ndo kipimo sahihi kweli kule wenye akili ni wawili tu haya changeni hela mumlipe Lucy aymel aliyewaita manyani na kweli hakukosea
IMG-20221009-WA0026.jpg
 
Kilichotufelisha tusiwe na preseason ya maana ni usajili wa Aziz Ki,,, ametugharimu pesa nyingi sana na alitaka pesa yote alipwe sio mafungu mafungu kama tunavyofanyaga kwa wachezaji wengine, ikaharibu budget yetu ya preseason kwenda Uturuki tukaishia kucheza na Vijibweni Fc pale Avic town

Kwa kifupi tuliiga kunya kwa Tembo

Na sasa deni la Luc Eymel linatakiwa lilipwe ndani ya siku 45,,, sijui itakuwaje

Tunaiomba Simba ifungue twisheni tuwalete kina Injinia Hersi wajifunze kwenu vngnevyo tutaendelea kuaibika,,, tuoneeni huruma wajameni
20221010_075437.jpg
 
Back
Top Bottom