pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Habari za wikiendi mashabiki wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi. Ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:β
~ Wakati Simba wanaenda kabla ya msimu wao wakabaki Kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde kabla ya msimu.
~ Wakati Simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na Al Hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda.
~ Wakati Simba anaenda Zanzibar kutafuta afya ya mwili wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi Coco Beach kwenye mchanga kuliko kucheza mchezo kutafuta afya ya mwili.
~ Wakati Simba wanasajili kwa ajili ya CAF Champions League wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga Simba, kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndiyo hizo Simba walifuata.
Hao Friends Rangers na Transit Camp pamoja na Mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye CAF Champions League. Huku kila kitu ni tofauti, kubalini kujifunza muda ujao.
NB: Subirini tar 23 muifunge Simba mrudi Kigamboni kucheza na wavuvi, ndiyo mlichobakisha!