Yanga hawana bahati kabisa Na mvua

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Leo nimecheki weather ya lageria
Naona mvua kubwa itaanza kunyesha Na saa 3 usiku ambazo saa yanga Na USM wataingia uwanjani
Mvua itapumzika Na saa 4 usiku ambazo ni saa ambazo yanga watakwenda mapumzikoni Tena inaanza Na saa 4 nusu Na kumalizika Na saa 5 usku ambazo ni saa mpira utakuwa umemalizika
Tuseme yanga hawana bahati Na mvua tu basi Na hii sio kombe letu au [emoji24][emoji24]

Ila Bado najiuliza inawezekanaje watu warefu wakacheza mpira mzuri kwenye mvua kuliko watu wafupi ?
Maana wachezaji wa USM Alger wengi ni warefu Kweli Na most ya wachezaji wetu sio warevu wanashindwaje kukaza chini kwenye uterezi

Hii mechi ikimalizika viongozi wa yanga wabebe wachezaji wao kwenye viwanja vya mtaani ambavyo vimejaa matope waanze kupiga mazoezi Yao kwa takribani mwezi miwili tu watakuwa Na uhimara wa kucheza kwenye viwanja vyovyote vile
 
Unaongea utadhani umekatwa kichwa, Yanga iwe mvua iwe jua, leo tunampasua muarabu na kurudi na ndoo.
 

HABIB THALATHA BIN THIFULI Ω…Ψ³ΨͺΩˆΨ·ΩˆΩŠΩ†Ψ·Ψ·ΩˆΩŠΩˆΩŠΩˆΩˆΩˆΩˆMAKABI LILEPO
 
Leo ndio nimegundua watu wengi wanaojifanya kuchambua mpira hawakuwahi kuucheza,mtoa mada nakujibu swali lako tatizo la kuteleza kwa wachezaji kwenye uwanja umaji hautokani na Urefu wala ufupi unatokana na viatu vya wachezaji.
 
akili zako ziko kwenye????
 
Uliahidi kua utageuza mzazi wako kua mkeo endapo yanga hawatafanikiwa kuchukua kikombe,
Nitarudi kukumbusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…