Mwisho wa msimu assist 4Alaumiwe Azizi Ki jamaa hana huruma kapita na koba lote la hela
Kuna ten percent ya fundi maiko S SaidSijui alitumia uchawi gani ,watu wameshindana wenyewe kumpandisha bei bila mshindani na wakapigwa
Sasa hivi yule msemaji wao akiona picha wachezaji wa simba wanakula misri anaona wivu anapost wanakula kwa mama ntilie ,uchawa una kazi ,chini ya kapet Hersi GSM wamempa mwaka huu tu,kwanza kimataifa afike robo ,watamwondoa kwa namna yoyote ,maana hawajapata faida kwa ushauri aliotoa kimataifa mwaka jana,gsm wamemtegenezea njia kuwa rais ila kimataifa asipofika robo hawamtambui,yanga itabaki bila udhamimi wa gsmKuna ten percent ya fundi maiko S Said
Alaumiwe Azizi Ki jamaa hana huruma kapita na koba lote la hela
Niliwaambia uto pesa haziokotwi,huwezi kuuza magodoro ukashindana na watu wanaouza msosi
Kina Yakuba na Mapinduzi leo wamefukuzwa rasmi boss anasema mnakulaje msosi na viungo haviponi? Mapinduzi balama katoa povu mamamamamake inatia huruma kurubuniwa,kapombe alipata injury simba karibia msimu mzima ,matibabu na kila kitu alipata na akarudi uwanjani na ametisha hata kimataifa na timu ya taifa haachwi .Kwaio watavuka pale feli na Azam sea tax kwenda Kigamboni!?
umesoma topics zote za physical geography? Aina za picha una upigaji ,nimekuona unaokoteza vitu tu ,picha ya kwanza unajua ilivyopigwa? Ikuze mpaka ndani ,ya pili ishakuzwa kwa ajili ya ushabiki wenu na kucopy,kuza picha zote ziishie sehemu moja ,unapiga picha za kigamboni kwa mbali halafu unakuza nyumba moja ya jiji la misri, mkuu nakuambia huyo Aziz K mwenye lips nyekundu kila mechi lazima mtambusti na k vantView attachment 2297109
Unaweza kuwa sahihi. [emoji91][emoji91]
kwakweli sio fair kabisa wengine kupanda ndege kuweka kambi makao makuu ya caf alafu wengine wanapanda mv magogoni kwenda kambini beach Kidimbwi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2297109
Unaweza kuwa sahihi. [emoji91][emoji91]
Sasa hivi maneno mengiii! Halafu ligi ikianza, mnaaza kulialia huku mkimshutumu GSM, eti anahonga timu pinzani! Cha kushangaza na timu yenu yenyewe nayo ilifungwa mara mbili ndani ya msimu mmoja!Za ndani kuna pande mbili zinavutana,Yanga asili hawapo tena,baada ya engineer kuwa rais, hata press baada ya hapo hazina logo ya Yanga (asili) ni makampuni yanayodhamini tu. GSM wamelalamika kupigwa hela nyingi wakati hakukuwa na ushindani kwa mchezaji aliyesajiliwa wa mwisho.
Kwa vile GSM ana jambo lake kigamboni amekasirika kambi itakuwa pale pale maana hata uturuki na Moro ni upigaji.